Recent content by kipochi11

  1. K

    Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

    Kwa nn wasema hivyo mdau? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  2. K

    SUA, ni sawa mtu ku-disco kisa hujalipa ada?

    Utakuwa kunapaper hakupiga huyo labda Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  3. K

    Bunge Maalumu la Katiba laendelea kukusanya maoni!

    Jaman ccm mnatutafutia nn? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  4. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Hahaaaaaaa Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  5. K

    Kwanini Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano ziwe za Jeshi?

    Dhumuni kubwa la haya yote ni kutishia UKAWA. Lakin tutapambana tu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  6. K

    Dakika 5 za Dk. Kigwangwalla na dakika 12 za Mh. Tundu Lisu kabla ya kukatishwa

    Lissu ni jembe lisilogusika popote pale ktk nyanja zote Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  7. K

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    Jamani naomba umnipe updates za asubuh kuhusu uwasilishwaj wa rasimu ya katibu. Vipi warioba ametiliamkazo kweye yap? Plz help me friends. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  8. K

    Itawezekana!!!

    Hii nchi ni mali ya peoples in 2015 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  9. K

    Chadema yatikisa iringa mjini.

    Jaman mnakosea, cdm haitishi iringa mjin pekee bali ni tz nzima wanaielewa, sema ccm wanaona aibu kutukabidhi net iliyotobokatoboka, na tuna waambia tutaishona kwa meno na kwa kanuni za majembe 4rom cdm. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  10. K

    Mtei aonya fukuza fukuza CHADEMA - Aonya kuachana na Utamaduni huo mpya

    Chama ni cha wanachama, na c cha mtu binafsi, sisi ndo wadau ww mpitanjia, so umbea na upashukuna kapige na dada zako, tuachie wenye chama tuishike dola hapo 2015 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  11. K

    Mtei aonya fukuza fukuza CHADEMA - Aonya kuachana na Utamaduni huo mpya

    Msukule ni ww na familia yako msiojielewa, Eti na ww ni great thinkern hahaaaa labda great thinker wa misukule. Bt cdm itabak kuwa cdm, na cdm c chama cha mtei ww nyau, bali ni chama cha wananchi wote wa tanzania, na ndo chama tawala. Km haujui hilo kanye Sent from my BlackBerry 9300 using...
  12. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Umeme wametukatia huku jaman, yaan hii nchi kila sekta inaulemavu wake wa asil. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  13. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Jaman mashine za kutoleo photocopy za bungen zimefanyeje wadau? Coz nashindwa kuwaelewa, au rim papers hamna? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  14. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Jaman kificho mme mpa kaz kubwa sn, mwambien huku c zanzibar, huku ni bara, huku ubabe tu, labda angemuuliza mama kwanza ampe dondoo kidogo jins yy mwnyw anavyotokaga jasho. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  15. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 10 Machi 2014

    Hapo ndan lazima kieleweke leo, masuala ya kuairisha airisha leo yatakoma Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Back
Top Bottom