Recent content by kipochi

  1. K

    JamiiForums Tanzania huyu mwanaume hana aibu lo!

    mh! kweli hii ni haki sawa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bishanga mashaija,Waridi na Aisha wa Mambo hayo!!

    waridi yupo dar,ameokoka sasa na anasali kawe,kanisa la ufufuo na uzima kwa askofu josephat gwajima.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

    zamaradi ni mtangazi wa clouds tv an radio, ray c ni msanii wa mziki, ruge ni bosi pale clouds.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze hili especial wadada na wamama

    mh! hadi kupiga! ndio naskia leo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

    i mean earth.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

    heaven on hearth umejaribu kuwasiliana na Mange Kimambi?anaweza kukusaidia hitaji lako.
  7. K

    JamiiForums Tanzania ivi mahusiano bila 'SEX' yanaeza dumu kwa mda mref!????

    inawezekana sana tu.hakuna kinachoshindikana chini ya jua.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    mnaoishi mkoa wa Shinyanga mkae mkao wa kula,majeshi yanahamia huko.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    nashukuru kwa hilo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    haya mama/baba nimekuelewa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    i knw mpendwa,but hiyo ilikua ninjia yafikisha ujumbe tu ndugu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    hahahah,we acha tu,sijui tulichenganaje!leo ulikuwepo?kesho twende.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    nikustue sangapi?utakua online?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    usijali ntawajulisha,leo tumeombewa wadada na wakaka ambao hatujaolewa mapepo yamelipukaje!soon tunaenda kupiga vigelegele,mwaka hauishi.nimewaombea wakaka na wadada wa jf pia.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    chakula cha jana kilikua kitamu sana,yan leo nitajitahidi kuwahi sana
Back
Top Bottom