Recent content by kipipi

  1. kipipi

    JamiiForums Tanzania Makafara katika ujenzi wa magorofa

    mshana jr speaking of magadi hapo, naomba unambie kuhusu issue ya kuogea magadi huwa inasaidia nn exactly?
  2. kipipi

    JamiiForums Tanzania Wakenya na matani yao

    Okumu: eti kwenu mpo wengi hadi last born wenu anaitwa e.t.c
  3. kipipi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Rafiki wa kiume

    Hapa kataja elimu, ila tukijitokeza sisi walimu atatupotezea. Haya bana, kila la kheri. Hahahah tatizo lenu walimu wabahili jamani
  4. kipipi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Asa ww ulitaka akujibu vipi ujue upo pekeyako
  5. kipipi

    JamiiForums Tanzania Mumps

    Habari zenu wapenzi, Naomba kujuzwa juu ya ugonjwa wa MUMPS kwa watu wazima. Tiba yake ni nini haswa na je, antibiotics ni sawa kuutibu ugonjwa huu?
Back
Top Bottom