Wakenya na matani yao

hernanes96

Member
May 2, 2015
16
6
Okumu; venye kwenu mko wengi hadi mmeweka traffick lights

Omoki; vile we ni mweusi hadi ukiget in the car inakua tinted

Okumu; ati street kwenu kuna wezi hadi usiku mnaingiza geti ndani

Omoki; ati kwenu ni washamba hata mkagombania calculator mkidhani ni simu

Okumu; yani venye uko na face mbaya hata ukijiangali kwa kioo kinapasuka
!!!
 
Hao wakina Okumu, hawana uwezo wa kutamka (Z).:rolleyes:
Mfano :- mnaingiza wangetamka (mnaingisa)
Mfano :- wezi, wangesema (wesi););)
 
Umenikumbusha home😀😀😀😀😀😀😀
 
okumu; ati kwenu mlivo wengi hadi father enu akitaka kuongea anawaita ndugu wananchi

omoki; ati baba ako alivo mbahili ameweka geti peke yake bila fensi
 
Okumu; ati kwenyu ni weusi hadi mkibeba mtoto anasinsia akidhani ishakuwa midnight kwa kiza totoro ya weusi.
 
Okumu: Budako ni mrefu akipigwa picha inajiandika ,,,to be continued,,,,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom