Recent content by Kipimautu

  1. K

    Peter Msigwa na Humphery Polepole kwenye kipindi cha Madamoto, Channel Ten Jumatatu

    Sikutaka kuongea chochote sasa - ila kwa kuwa Hoja iko jamvini ngoja nami nichangie. Ndugu Polepole ni rafiki yangu namheshimu sana - amefanya kazi kubwa sana ya kuelimisha umma kuhusu Katiba sidhani kama ni sahihi sana kuanza kumshambulia. Tuheshimu mawazo yake, tumruhusu naye akae atafakari...
  2. K

    NSSF Stakeholders forum: Withdrawal inaongelewa kwa kina live on TBC1

    I have tried to follow - this is what Mr Sungusia said in his Paper 1. Why at cross roads in Tanzania? a). Since colonial times social security is not seen as a right but a privilege. b). ILO C.102 as minimum standard should not be used as a ceiling but as a starting point. c). Lack of...
  3. K

    Wakenya walikuwa wapi kuhusu ya "Samunge"?

    Wizi huu umeendelea kuwepo kwa kipindi kirefu sasa. Tunapaswa kufanya study ya 'Bio-Piracy in Tanzania' kisha itungwe sheria ya kupambana na uharamia huo. la sivyo hawa wakenya na wenzao A.K.A manyang'au watatufilisi! naomba kutoa hoja.
  4. K

    Taja mapungufu ya Katiba

    a) Umiliki wa Katiba Katika kutizama dhana ya umiliki wa Katiba kama tulivyoona hapo juu, ili kupata uhalali wa Katiba [Legitimacy of Constitution] ni lazima Wananchi wawe wamiliki Katiba hiyo. Swali la msingi linaloibuka ni kuhusu jinsi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977...
  5. K

    Kipengele cha "Zanzibar ni Nchi Ndani ya Katiba ya Zanzibar, 1984," So What?

    Katiba ya Zanzibar ilifanyiwa mabadiliko baada ya kupigwa kura ya maoni na wananchi kura yenye maelekezo potofu kwa sababu zisizokuwa wazi kwa umma wa watanzania. Karatasi ya kura ya maoni ilikuwa na swali hili : "Je, Unakubali kuwepo kwa muundo mpya wa Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu, 2010?"...
  6. K

    Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo: CDCF

    Ndugu wananchi, Kwa kiswahili chepesi, hili dudu linaloitwa mfuko wa jimbo ni lile lile ambalo mwanzoni lilibatizwa jina la takrima. Tukumbuke kuwa ni Bunge ndilo lililotunga sheria, tena mchana kweupee, bila aibu wala soni na kuhalalisha rushwa kuwa eti "African Hosipitality" A.K.A takrima...
  7. K

    GE2010 Mfumo wa Uchaguzi Tanzania na ufadhili wa kisiasa

    Kwa kweli huu mjadala umekuja vizuri japo umechelewa. Naomba nichangie kwa kuibua hoja, Kwanini tunachagua? Je demokrasia ya moja kwa moja (direct democracy) imeshindikana kabisa? sasa tuboresheje demokrasia ya uwakilishi? haya ni maswali wanazuoni wengi wangependa kuanza nayo kama...
  8. K

    Tanzania Constitution - (Swahili & English Versions)

    nakala ya mwisho ya katiba ya kiingereza nadhani ilikuwa ya mwaka 1997. Hata hivyo katiba uliyoweka hapa haijumuishi mabadiliko ya 14 ya mwaka 2005. tafaadhali kama kuna anayeyahitaji haya katika hii link http://kipimautu.wetpaint.com/pageSearch/attachments
Back
Top Bottom