Recent content by kipi sijasikia

  1. K

    JamiiForums Tanzania Makato kwenye mshahara

    Izo ni tabia za wahindi Mkuu pole sana inaakera mno
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

    Kuna makabila wanasemaga wao mzimu wao ni nyoka au chui au njiwa.na hao inakuajekuaje??
  3. K

    JamiiForums Tanzania Official: Video ya Love Boat ya Kcee ft Diamond Platnumz kutoka Ijumaa hii

    Ile nyumba hawakupanga.Jamaa alipewa hisani tu pale.alikuwa halipi hata mia.kodi angeiweza sasa!!na show mbili kwa mwezi malipo laki8!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ntaipata wapi hii nyimbo ya emmanuel nkulila??

    Jaman hata Mimi huu wimbo nmeutafta sana.yan sjui mtandao gani ckuingia.lakin nikatoka kapa.naomba jaman atakae upata anisaidie na mom wandugu@warumi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa training kwenye warehouse na store keeping

    wanandugu za jioni.naomba msaada wa kufaamu ratiba mbalimbali za training kwenye fani tajwa hapo juu kwani mke wangu amepewa nafasi na ofisi yao mwakani kuhudhuria training lakini kwa shart atafute mwenyew na wao watamlipia gharama zote.naombeni sana mnipatie link au makampuni binafsi au ya umma...
Back
Top Bottom