Pilgrim anamtegemea sana MK. Ikiwa Widow, Sunny, Bajie, Lydia, Moon, Tilda na hawa monks wa Master wakishirikiana basi Pilgrim hana chake pale. Master na Ankara wanatosha kutrain watu hawa mpk kumstop Pilgrim. La sivyo Pilgrim na wale Black lotus wakiungana na akafanikiwa kuwashawishi wale Monks...