chezea joka kwanini asikudonoe?
utakubaliana na mimi kuwa shule za seminari zinawatenga saana mabint na wanaume na kuwachunga juu na hiyo kumbe kwa mabint wengine huwa wanasaidika coz mwanaume cio wa kumzoeazoea na unajua mmenona
unamshauri atafute wake ...ok nice...but aanze kwanza na hili---
a)
aache tabia/pepo la ngono kwanza ili .(it is a war)
b)
when she comes to the sexual issues of stop thinking men are just like women..
1.shemeji yako alikuwa anajua anachokifanya kubali ukatae
2.inakuwa ngumu kukubali kwamba ulikuwa hujui nini kitatoke mwishowe...we ni mtu mzima na si mtoto wa miaka 7 kusema usimamiwe hata
3.nikuulize....
"imajini unammeo kisha rafiki wa mmeo/ shemeji kisha akatumia same trick mwishowe akala...
Duuh !!!!
unamshauri atafute mume wa mtu.........
Yaani awe japo si lazima "chanzo cha kuvunjika ndoa ingine"
Ok tuseme atafute mume wa mtu na uyo mwenye mme unamfikiriaje?
Nimeksoma vizuri ndugu..
Duh! Km mm hili tatizo ni tangu january 2003 saa nami nikijaribu sijui ntarudi na story gani apa jf , vikinizidi ntajaribu haina jinsi..
Lkn pia ulisema ulipata nafuu kwa njia ingine isiyo gharama.
Msaada tafadhari.
Asubuhi njema
Ndugu mm pia ninatatizo hilohilo..
Kwani hiyo dose ulianza kutumia lini maana naona km ulitoa maada lkn now unadhibitisha ufeki wa da apa nilikuwa na plani niitafute iyo dawa..
Tafadhari msaada wa mawazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.