Recent content by Kipe Ya Yo

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    Hata sisi tumesafiri kutoka mbali kuja kumuwezesha Tundu Lissu achukue nafasi ya kuwafariji Watanzania baada ya mateso ya muda mrefu utumwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

    Thubutu ! Nyomi hiyo ni wachache? Umeambiwa kuwa idadi ya watu waliopo kwenye mkutano huo haijawahi kutokea Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa nchini au una miwani ya mbao? 😂 😂 😂
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

    Umeshachelewa mkuu sisi tumeshaamua kufanya jambo letu muhimu tarehe 28 🤣🤣🤣
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Hao Walimu wanaipenda Ccm kwa yapi kama kweli amewanyima stahiki zao namna hiyo? 😂 😂 😂
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Siasa za majitaka hizo mkuu. Tangu lini mgombea wa urais akapangiwa ni wapi asifike? Sasa mmeshaishiwa mbinu na hoja za majukwaani eti unasema Tundu Lissu wapi na wapi Chato? Hivi unajielewa kweli au unafuata mkumbo tu? Nyie subirini tu 28 tuna jambo letu hakika hamtaamini enyi banyamulenge.
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

    Pengine wewe ndiye utarudi utumwani sisi tutafika Kanaani kwenye nchi ya ahadi tukinywa asali na maziwa chini ya kiongozi shupavu Tundu Lissu 🤣🤣🤣
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

    Hakika umenena ukweli mkuu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

    Mbona nyinyi mumeungana na UDP NA TLP?
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Giza nene lazidi kutanda Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni lazima tufanye jambo letu October 28 ili kurudisha uhuru, haki na maendeleo yaliyodidimia kwa miaka mingi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hebu tuambizane ukweli, Magufuli anatumia kigezo gani kusema atashinda Uchaguzi?

    Yaap! Yeye asubiri tu Oktoba 28 tuna jambo letu wala hataamini kwani maendeleo hayana vyama na Tanzania ni yetu sote 🤣🤣🤣
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

    Hakika huyu ni mteule wa Mungu atakaetutoa utumwani na kutufikisha katika nchi ya ahadi. Hii ni tunu ya taifa letu tusiichezee. ## 28 Oktoba tuna jambo letu# 😂😂😂
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Samia Suluhu azindua awamu ya tatu ya kampeni CCM

    Kwa sababu ndio tabia zao za kunyanyasa wengine wakijifichia kuwa na dola lakini siku wakishindwa tu sijui watakimbilia wapi 😂😂😂
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

    Mpaka nimecheka kwa sauti. Kwa hiyo ni mitano tena ya maumivu kwa wananchi 😂😂😂
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu alitakiwa kuwa Serengeti leo Septemba 27, kwa mujibu wa Ratiba za NEC

    Wanafahamu lakini wanajisahaulisha mwaka huu imekula kwao kila kona amewabana 🤣🤣🤣🤣
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

    Yaap! Uzuri wamekutana na msomi mwenye uelewa mpana juu ya taratibu za kisheria sijui watakimbilia wapi? Majaliwa alitumia njia ya kupita bila kupingwa ili amfanyie kampeni rais.
Back
Top Bottom