Recent content by KipangaBoyJr

  1. K

    JamiiForums Tanzania Email ya HR wa Stamigold

    ok nilipiga intern pale Graduate Program.) StamiGold Biharamulo Mine a subsidiary of STAMICO. July/2016 –May/2017 Industry: Mining Industry/ Career Level: Entry Level-Junior
  2. K

    JamiiForums Tanzania Email ya HR wa Stamigold

    Kazi za Stamigold ziko Hivi ngoja nikujulishe kidgo % kubwa ya wafanyakazi wa stamgold wametoka kwenye intern ambapo uwa wanafanya pale pale so kwa mtu wa nje ni % chache sana kupata kazi ila nakutumia email ya kazi The Mine General Manager, Stamigold Biharamulo Mine, P.O. Box 103, Biharamulo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    Mkuu wanarumu hatuko hivyo Sheria ipi imefunjwa na Mh. Mbowe
  4. K

    JamiiForums Tanzania Human Resources Associate at UNDP

    mzigo wa moto sana kuapply
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    aise mwaka jana nimeenda kwa bavoni kajenga banda lingine zuri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

    Kuna siku mchina kanicheki kasema tunatafuta HR ila tutakulipa 23K per day Nikamuuliza iyo ni meal au salary? Akanijibu kuwa ni salary nikamuuliza ivi umeangalia wapi nafanya kazi na experience yangu kalala mbele hawa jamaa wajinga sana aiseee
  7. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Vitz nyingine hii hapa cc 990, kwa 4m. Temeke Dar

    Fanya 3M uje DM
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alalamika maneno yake kugeuzwa juu chini, awapa viwanja wachezaji Twiga Stars kwa kutwaa kombe la COSAFA

    Tuliza makalio akifungwa utafaidika na nini,
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Fursa fursa fursa za kazi. Alhamdulillah hapa Abraar Complex Kuna fursa kadhaa za kazi zimejitokeza. Tunahitaji: 1) Mafundi ujenzi (waashi) wazoefu. 2) wasimamizi wa ujenzi (site foreman). 3) Mafundi seremala wazoefu. 4) Mafundi bomba wazoefu. 5) Fundi welder. 6) Wahasibu wasaidizi. 7) Wasaidizi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za TRC

    mzee njoo inbox
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira sheli au Supermarket, nina elimu ya kidato cha nne

    kama uko DSM - NAFASI SA KAZI. 1. Pump Attendants 2. Cleaner Mahali kituo kilipo: Bunju B. Uzoefu usioupungua mwaka mmoja. Kipaumbele kwa wanaoishi Tegeta, Boko na Bunju. Usaili unafanyika leo kuanzia saa 7 kamili mchana ofisi za Blue Recruits Limited Magomeni Mapipa, Mtaa wa msichoke...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

    wenzako wanakufa wewe unakimbilia uko ngoja nimwite bro Hamisi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Waliowahi kufanya written Interview Access Bank Microfinance position ya Recovery Loan Officer (RLO) naombeni muongozo

    kuna jamaa yangu yuko Access bank ya Temeke anakula 200k dah acha kabisa
Back
Top Bottom