Natafuta ajira sheli au Supermarket, nina elimu ya kidato cha nne

Radonde

Member
Apr 13, 2021
44
45
Salama

Samahani ndugu zangu mwenye Connection ya ajira katika Sheli au super market naomba aniungnishe elimu yangu kidato cha nne.
 
Jitahid kutoa details zenye msaada. Mfano mkoa uliopo na jinsi yako itawasaidia waajiri/makonekta
 
Salama
Samahani ndugu zangu mwenye Connection ya ajira katika Sheli au super market naomba aniungnishe elimu yangu kidato cha nne
Andika barua ya maombi ukiambatanisha na ya mdhamini,sambaza vituo vya Mafuta na supermarkets.
Wao wanapokuwa na uhitaji hurejea hizo barua na kuita Watu.

Sambaza hasa kwenye Petro stations mpya zinazomaliziwa kujengwa, MUNGU ni mwaminifu utapata.
 
kama uko DSM -
NAFASI SA KAZI.

1. Pump Attendants
2. Cleaner

Mahali kituo kilipo: Bunju B.

Uzoefu usioupungua mwaka mmoja.

Kipaumbele kwa wanaoishi Tegeta, Boko na Bunju.

Usaili unafanyika leo kuanzia saa 7 kamili mchana ofisi za Blue Recruits Limited Magomeni Mapipa, Mtaa wa msichoke.

Fika ukiwa na barua ya maombi pamoja na wasifu wako (CV).

Karibuni!!

Msaada zaidi njoo inbox nikupe namba
 
Nashukuru
 
Habari ndugu mi nipo tegeta kabisa ni kijana umri miaka 24
Nimejarbu kuja i'mbox nimeshindwa nitext plz namba angu hii 0764161048

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom