Recent content by Kipaji Halisi

  1. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Bachelorette Shyrose Bhanji

    Salama kbs,upo wewe
  2. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Bachelorette Shyrose Bhanji

    Kuna Show km "Bibi Bomba" ,mwanzo ilikua km inaweza kosa washiriki ,lkn ghafla ikawa na washiriki na watu wakaipenda ,hata hii inawezekana ikafanya vzr ,ila pia wakosoaji hawatakosekana Ni namna tu atakavyoiandaa,maana kwa inavyoonekana ni km "Reality Show" Fulani hivi
  3. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Bachelorette Shyrose Bhanji

    Idea yake nzuri , anaweza pata washiriki na pia kupata watazamaji
  4. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Ligi zimerudi wake na michepuko yetu mtuvumilie

    Sawa sawa Mkuu,navyopenda soka,iwe kutazama kwa TV, iwe kwenda uwanjani ,au kuucheza Liverpool hapa
  5. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Ligi zimerudi wake na michepuko yetu mtuvumilie

    Dah navyopenda soka,muda muafaka huu
  6. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

    Muanzilishi sa mtandao wa wikileaks,hope umewahi kuusikia
  7. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Wazee wa klabu ya Simba wamuomba Rais kumpeleka CAG kukagua klabu hiyo

    Kweli hao wazee
  8. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Hahaha.. Hivi wastaarabu mpo?
  9. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Mmmh
  10. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Manara:Siku ya Jumanne nitaongea mambo mazito,,Yanga hawatatumia mitandao ya kijamii

    Jamaa anaipenda Simba kuliko aliyenunua hisa
  11. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Mie handsome? Mmmh makubwa haya ,JF now ina watu wake
  12. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Mzigua ni nani?alikua anakuja Leo tena?au JF party?
  13. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Hahaha, mie si unajua MTU wa kuangalia tu ,nawasoma
  14. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Nimesoma huu Uzi,asee mmenikumbusha mbali sana ,Niko mbali nikirudi town naitisha kikao cha dharura
  15. Kipaji Halisi

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Chachu Ombara

    Hahaha naona mnatukurupusha tulio lala
Back
Top Bottom