Hakuna ukawa wa cdm ambao wana watu wa kua viongozi wa nchi, viongozi wako ccm pekee ndio mana kila kukicha wananchi wanajiuliza ni lowasa, membe, makamba, wasira au sita? Maana wana imani na chama chao na watu wao makini, wajiulize kutoka cdm kuna nani? Labla chifu maliale wa machame aamke upya...