Recent content by kinyumenyume

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza ripoti za mabalozi; Wale watakaoonekana kuzembea, teuzi zao kutenguliwa

    Minyumbu humu haitaelewa kitu,minyumbu inaona Ni uonevu na vitisho ,minyumbu inamwamini mange kimambi huyo bidada akisema akisema anataka wamunyonye Nani hiiii nyumbu watakubali tu,pole yao Kama na hili la meli wanalipinga
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

    Mambo ya kupigania katiba yametoweka tena Sasa hivi Ni mwendo wakupata kick kupitia wazungu wa ubeligiji ,pole sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    Chadema upoupo tu,hauko Moto Wala hauko baridi chagua kitu kimoja kuwa Moto au baridi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Haiba za wakuu wa shule za sekondari za zamani

    Mzumbe sec.miaka ya 1985 tulikuwa na James kasasi(ngwema),mwalimu wa nidhamu TIBIKUNDA(kichwa) usiombe siku akionekana hadharani kwenye rally call ,tumbo linaanza kuunguruma lenyewe unaweza kwenda kuharisha bila kuumwa na tumbo hata Kama hunakosa siku hiyo akionekana amani inatoweka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kagera na Mwanza wapata boti ya kisasa(Speed boat)

    Mbona nauli kubwa Sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Achunguzwe tu,Kama alikuwa halipi kondi labda hiyo aliipata kwa kuuza madawa ya kulevya,achunguzwe tu hamna namna
  7. K

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Huyo kakobe anainjiri gani ,au na wewe Ni mlokole wa kakobe Bora niwe kilaza lakini siwezi kuwa popoma wa kakobe Kama wewe ulivyo,Mimi nilitegemea ukomment kitu substantial Kumbe unaleta vapour na ubishi wa kilokole hapa,ukisema nyeupe kwake Ni nyeupe Ni unafiki,anamadhambi mangambi aliyofanya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

    Unapomwambia mutu atubu alizini na mke wako minyumbu inamawazo pumba sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

    Semeni hata Ni mmarekani mweusi ili mlidhike,sisi tunataka maendeleo sio kabila ,fucken
  10. K

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Ndo maana nimeachana na kanisa la kakobe,huyu mchungaji haeleweki anachangaya siasa na dini ,akagombee cheo kwenye ukawa tujue moja,Sasa hivi huyu sio popo Wala sio ndege
  11. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Ajiunge na chadema aache kuhubiri dini,mnafiki huyo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Weka na kapicha tuone
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaenda tena kuua kampuni yenye ufanisi inayotoa ajira kwa maelfu ya watanzania?

    Minyumbu bado inabisha tu,badala ya kumbishia mbowe anaua chama letu wao wanabishana na Rais wa Nchi,akili za wengine Ni ubuyu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama leo hii CHADEMA wangeshika nchi sijui ingekuwa kwenye hali gani!?

    Tingekuwa tumeuzwa pamoja na vitu vyote,tembo wangeisha jamaa wangeuza mpaka panya
Back
Top Bottom