Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

You know nothing about RETRIBUTION, siku ukijua alichofanya mpaka akatwangwa risasi ndo utapata akili ya kuwa huyo jamaa sio shujaa kama mnavyodhani.Endeleeni kumpa kichwa mitandaoni.
Unless you want to quote me out of the context, I've appropriately used that word to suit my desired intention.

Pili, tueleze sheria za nchi zinasemaje kuhusu mtu anayedaiwa kuvunja sheria, je anatumiwa watu kumuua au anapelekwa mahakamani.

Tatu, kama serikali yanyewe haiwezi kuheshimu sheria sasa itakuwaje na moral obligation to enforce the law? Answer please.
 
Amini amini nakuambia, mwanaume anaye shindwa kumfikisha mkewe kilele cha raha anaiweka ndoa matatizoni, lakini mwanamke anaye amua kutangaza udhaifu huu mtaani anaua ndoa asubuhi SAA tatu.
Tundu Lissu ni aibu ya taifa hili.
Wwe hujielewi kama makufuli
 
Hii sentensi inaonyesha wewe si mfuasi wa LISSU bali ni mtumwa wake na nadhani unaelewa uhusiano uliopo baina ya watu hawa. Bwana anaweza kumtaka mtumwa hata am...le.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Kwa akili hiz hamuwezi kuiongoza Tanzania tunayoitaka ya mafanikio kwa kila sekta.
Rejea post # 6

Sijaelewa tatizo la Bwana Tundu Lissu (kama ni kweli) kukutana na hawa watu ni nini hata watu mnaanza kuweweseka na kurusha maneno makali makali kiasi hiki?

Na najiuliza tu kuwa kama hawa viongozi wao wenyewe wanapenda kuonana na mheshimiwa huyu, kumsalimu na kuzungumza mawili matatu, iweje watu mnaanza ku pre - empty anachoweza kuzungumza?

Ni wazi kuwa, ninyi watu mnatamani Tundu Lissu huko aliko awe confined ndani ya chumba cha hospitali anakotibiwa na asiweze kuzungumza na yeyote zaidi ya ndugu zake huku Tanzania. Ndivyo mnavyotaka siyo? Na je, itawezekana kweli?
 
akili ya mwaafrika haitakuja badilika, yani sisi siku zote tuonaona mzungu ndio solution. Kwakweli Donald trump hakukosea.
Sisi huku wasiojulikana, wasiokamatika, wanatumia AK47 kushambulia wapinzani wao wa kisiasa. Hakuna wa kuwakemea, marais na wazee wa chama wanamuogopa. Tukaseme wapi ndugu yangu, kwenye mtungi? Au tujilipue kama al qaida
 
Hakuna anayetamani kumzuia atumie haki yake ya kuongea. Tujaribu kuwaelimisha wanaobwabwaja eti akikutana na wakubwa hao nchi itawekewa vikwazo vya kiuchumi ili tu upinzani upate pa kutokea ..binafsi nimewaagiza tabia ya wazungu ni kujali maslahi yao pekee na si kumwonea huruma TL kiasi cha kuiwekea vikwazo nchi.
 
Km ni lazima mtu mmoja afe kw masirahi ya taifa,!!hakuna shida.hata kwenye kulitangaza kanisa kuna watu ilibidi wafe kw masirahi ya kanisa,hata mtume mohamed,kuna wakati alitumia nguvu ktk kueneza neno la morah
Masirahi = masilahi
morah = mola

Halafu njoo useme unachotaka kusema
 
duh wakati mwingine tunatakiwa kuforesee mambo kabla hatujafanya, yanaweza kuwa yanatubackifaya sisi wenyewe!
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Kikao gani cha Chadema kilikutana kumpa idhini hiyo?
 
Natamani tufungiwe ili tuone majigambo ya bwana mkubwa. Maana kila siku anajigamba tuna fedha ,tuna fedha .
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai

Ulipatia Sana kujiita "jinga "wewe ni jinga hasa tena jinga mavi, una uhuru gani wewe?
bajeti haikamiliki bila misaada, sasa uhuru umetoa wapi?
silaha zote tunanunua kwa wazungu, uhuru utoe wapi?
Unajua maana ya uhuru wewe?
 
Back
Top Bottom