Recent content by Kinyonyok

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama upo single usitamani ndoa

    🤣🤣🤣
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shida zilipokubana uliwahi kuuza kitu gani kwa bei ya hasara ili ujinasue?

    Hiyo kesi nazani ilikua yakutia mimba mwanafunzi🤔
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jina la Tanganyika kupewa wilaya ni dharau kwa jina hilo tukufu

    Siwilayatu mpaka ziwa lipo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jirani yangu ni mbabe na msumbufu

    Huo mkasa wako nikama wangu japo misijajenga ukuta yaani mwamba nimusumbufu hadi nishafikilia kutoa hera nimroge.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Mwe Mwenyewe niliwaona Katavi yaani watu Wana pokezana madem kwenye mapori wakezao mixer nadada yanayotoka mjini kwenda kujikodisha huko msimu wamavuno ya mpunga.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu zitumikazo kuiba hela benki

    Rest In peace 🖐️
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba tujadili changamoto za baadhi ya wapangaji

    Kiukweli nimeanza kuishi kwenye upangaji mwaka 2017 Sijawahi daiwa Kodi namwenye nyumba naninachofanyaga nikumtafta mwenyenyumba nakumpa pesa yake Kuna ngwamba Moja hapa nimpangaji mwenzangu daah jamaa anatamani siji kuishi Bure maana kheee.....
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Aiseee Aisee ulitumia busara sana daah...!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

    Daah umenikumbusha kipindi kimoja 2020-2021 nili ishi katavi wilaya ya mlele Aisee huko Kuna radi nibalaaaa Mvua kidogotu radi Zina miminika kama upepo...!!
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

    Alafu mkiachana unaenda kumnyang'anya sindiyo...?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada

    Mmmmh Kwa uandishi huuu.... Haaya bhana.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

    Mawazo ya magume gume kama hivi yapuuzwe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Itoshe kusema wewe nimpotoshaji na mchochezi ulistahili zawadi yapingu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

    Aisee hiyo kitu imetokea kwangu tarehe7 mwezi huu Almanusra nikalazwe kituo chapolisi bahati nzuri polisi wanakuja wakanikuta nipo job Daah ikabidi waniteme nakunipa maelekezo yakesho niende kuripoti kuandika maelezo.
Back
Top Bottom