Mbinu zitumikazo kuiba hela benki

Mbinu zitumikazo kuiba hela benki

Tunaongelea Bank Mbwiga wewe, nani anaongelea mfumo wa uzazi na vizazi?
Umesema mifumo hujasema mifumo ipi ndio nmekwambia ipo mifumo rahisi kuipenya hata hio ya bank wanaodakwa wanakosea procedure
 
Umesema mifumo hujasema mifumo ipi ndio nmekwambia ipo mifumo rahisi kuipenya hata hio ya bank wanaodakwa wanakosea procedure

Sawa, maana mnapenda ubishi, huyo jamaa kaangalia documentary za wezi wa bank wa 1986, anafikiri kwa sasa unaweza fanya huo ujinga!

Hakuna mwizi wa Bank yeyote anaweza socialize na kusema kwamba anaiba Bank, hakuna hakuna, labda kama wewe ni demu wake.
 
Juzi Kuna dogo wa miaka 22 kachukua 13M CRDB una habari? Sasa jiulize kuna wangap ambao wanachukua bila kushtukiwa?

Usiseme kaiba sema kachukua
 
Hizi technology zilizoorodheshwa zote za kizamani, hakuna benki unaweza kuiibia sasa hv kwa mbinu hizo. Kwa Tanzania sasa hv wizi unasumbua sana ni mobile banking, watu wanapigwa balaa esp wateja wa nmb
 
Sasa hapa kibongo ole wako tukushike..
Narudia tena ole wako ujaribu kijana... Utakubali show yake
 
Kwa sasa niko GGM Ashanti Gold
Aminia kaka najua mambo safi. Nasema hivyo kwasababu ya michango yako humu tangu enzi zile una ID ya mzee flani ana panki la mvi, lisura flani la kutisha limetapakaa matope na mjeda flani special force akipoint bastola.

Pamoja 👌🏿
 
Back
Top Bottom