Recent content by kinyongo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

    kama kawaida Wabongo tumezoea Uchakachuzi, si ajabu na hii nayo imechakachuliwa,,, lakini masikini ni watu sio nchi naamini kabisa kwamba Tanzania yenyewe ni Tajiri ila watu wke ndo..... hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu mdogo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ona picha kwenye msiba wa billionaire babu sambeke

    Jamal Sambeke mtoto wa marehemu akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani Arusha kwa picha zaidi angalia MAASINDA chanzo Maasinda
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    mi bado sijaelewa kabisaaaa,,, jamaaaa kakamatwa kwa mara nyingine ni sawa,, lakini amekamatwa kwa kosa gani tena???? embu tukune kwenye mshipa wa uelewa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Under the same sun wazindua mradi wa vipindi vya redio kanda ya ziwa,, ni ili kuelimisha umma juu ya

    Balozi wa Canada nchini Tanzania Bw, Alexandre Leveque akifungua kinywaji kama ishara wa Uzinduzi Rasmi wa Vipindi hivyo(Mradi huo) Wengine ni Mkurugenzi wa UTSS Bi Vicky Ntetema pamoja na Viongozi wa Shirika hilo. Katika Kuhakikisha kuwa Unyanyanyasaji kwa walemavu wa Ngozi unakoma kabisa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    mi nafikiri aliongea vile mbele ya waandishi wa habari ili aonekane kuwa nayeye anapoint ya kusema
  6. K

    JamiiForums Tanzania CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    nilikuwa napita tu wakuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    Kaimu katibu Mkuu wa CUF Bw, Julius Mtatitiro amesema kuwa hapa Tanzania kuna viongozi wa aina Mbili ambapo amewataja aina ya Viongozi hao kuwa ni Viongozi waliosoma na wale ambao hawajasoma na kuongeza kuwa kuna viongozi waliosoma wenye Akili na Viongozi waliosoma wasio na akili. Bw...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    Chama cha wananchi CUF kimeendelea kutoa laana kwa vitendo viovu vinavyotokea hapa nchini kama ilivyo kawaida ya chama hicho kutoa laana kwa vitendo hivyo. Leo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo Naibu katibu mkuu wa Chama Bw, Julius Mtatiro, hicho alikuwa akizungumza kwa niaba...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waziri anapolima na suti

    ukiwa shambani hakikisha umevaa Suti au hata kama Sio suti angalau kidogo mavazi yako yaendane na Heshima yako, pia hakikisha Huchafuki hata kidogo kuanzia mavazi mpaka kwenye viatu, Mfano mzuri nitizameni mimi,, hilo ni somo ambalo nadhani alikuwa akilitoa Mshkaji kwa wakulima wenzie
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri anapolima na suti

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012 eneo la Tenki fupi kata ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    hii ndiyo inaitwa maisha bora kwa kila mtanzania,na nibora pia kwa watumishi wa sekta nyeti kama hiyo :A S 11:
  12. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    Moja ya nyumba za walimu katika shule ya msingi Ipyana wilayani Kyela mkoani MbeyaHali ya nyumba za walimu katika shule hiyo ni mbaya kama inavyoonekana hapa Hili ni dirisha lenye kioo cha bati Picha kwa hisani ya Gordon Kalulunga
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hebu tukumbushane baadhi ya matamshi au vitendo vyenye kuudhi toka kwa viongozi.

    mwanasheria ana Digrii ya chupi DC
  14. K

    JamiiForums Tanzania NCCR yapinga rushwa muda huohuo wakitoa rushwa hapohapo

    mi binafsi naona kama huu ni unafiki tu hamna mwenye nia ya kutokomeza Rushwa
  15. K

    JamiiForums Tanzania NCCR yapinga rushwa muda huohuo wakitoa rushwa hapohapo

    Chama cha Siasa cha NCCR MAGEOUZI kimejikuta kikiwa katika hali ya kutoeleweka baada ya kuilalamikia Rushwa iliyopo katika chama Mwenzake CCM kwa kusema kuwa itawashugulikia viongozi wake walioingia madarakani kwa Rushwa baada ya miezi sita wakati huohuo NCCR ikatoa Rushwa kwa waandishi wa...
Back
Top Bottom