Kumbuka Israel hafadhili ugaidi popote duniani,Pia hapiganii kueneza dini yake ya kiyaudi.
Irani shida yake anapambana sana kueneza Ushia na pia anawapinga hadi wasuni
Hivyo Irani ni tishio si tu kwa Israel hata kwa waarabu wenzake hawamtaki.
Kwa miaka yote kongo ilipaswa kuwa na jeshi lake imara kabisa, wakongomani ni watu wastarehe na kujiremba hata raisi wao anaolnekana ni mdhaifu, asiyekuwa na uchungu na kongo ni mhuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.