Recent content by Kinyan'ga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    Hivi na nyie mnajiita wasomi ? Acheni umbumbumbu someni tutawapiga DISCO
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sitta akwaa kisiki: UKAWA wasusia kikao chake, yeye aomba waje wayamalize

    Hivi gazeti la UHURU ni udaku? Huoni linaendeleza siasa za lumimba? Na hamna wa kulinunuanatulazimisha maofisi ya serikali tuyanunue?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Abood Bus Service this is too much!

    Pandeni basi zuri BM couch la mtanzania halisi.achaneni na mwarabu huyo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Machali afanya mkutano na baba yake mzazi; akana kupigwa

    Mwenye malezi mazuri ni MM
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Dkt. Slaa ni mzushi na anazeeka vibaya!

    Hebu tujiulize Mr Nape na Dr Slaa nani Mvivu wa kufikiri?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nini kimejificha nyuma ya milipuko ya mabomu ya Arusha?

    Muda muafaka bado
  7. K

    JamiiForums Tanzania Haya sasa, sarafu yetu ya MIA TANO hii hapa!

    Una maana gani?come clearly!! Percent kubwa ya uchumi wetu ni import export dependant iweje value ya currency yetu isiwe na impact kwa maisha yetu? Hebu tueleze vizuri
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi atumia Upenyo kurejesha UKAWA bungeni!!

    Hivi hao wanaosema ukawa ijenge hoja nzito kwanini sisiem isijadili rasimu ya tume ikajenga hoja nzito kuikataa? As long as hoja inapigiwa kura na inategea itiladi ya walio wengi ukawa wakikubali wataliwa I
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yona: CHADEMA wameshindwa kujenga GHOROFA kwa RUZUKU ya chama, CUF wameweza

    Jambazi ni CDM au yona? Kwanini asijenge gorofa na hizo alizokwapua? Misaada kutoka nje iko specific kufuatana na proposal sio lazima kujengea gorofa. Wafadhili sio wajinga kama unvyofikiria
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa: Sina lolote la kumkumbuka Rais Kikwete

    Mimi notamkbuka kwa ongezeko la rushwa, deni la taifa, mikataba mibovu kukosa maamuzi muhimu na kuongeza imasikini. Mengine ni magumu kusema
  11. K

    JamiiForums Tanzania Zambi: Serikali mbili ni maagizo kutoka kwa JK

    Mara nyingi nimekuwa nikisema democracy ya kweli Tanzania itakiwa ngumu kupatikana. Hasa pale mtummoja anapoamua mustakabali wa taifa kwa faida yake binafsi. hafu na sisi tunashangilia kama mazezeta vile. Tumkabithi Mungu wa kweli hii nchi ndiyo suluhisho
Back
Top Bottom