Recent content by kinyabhusese

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ya mke wangu

    Safari njema
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa: Hivi pale sebuleni kwako una siti maalumu au unakaa popote tu

    Dahh wewe mkoloni na mnoko sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kuaga mwili wa marehemu Deo Filikunjombe (Mb) - Kijichi jijini Dar es Salaam

    Samahani chipolopolo nine quote vibaya post yako. Ilikua ni kwa ajili ya mussalani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kuaga mwili wa marehemu Deo Filikunjombe (Mb) - Kijichi jijini Dar es Salaam

    Wewe mussalani sio mwana mabadiliko wewe ni mwana lowassa leo hii lowassa akiludi ccm nina uhakika utamfuata huko huko. Hivyo usituzingue kabisa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kuaga mwili wa marehemu Deo Filikunjombe (Mb) - Kijichi jijini Dar es Salaam

    Wewe si ulikua mfia chama wewe ndani ya miezi miwili umegeuka na kua ukawa kufuata huyo mzee wako na angebaki ccm ungekua bado uko huko. Watu kama nyie sio wapenda mabadiliko ni wapenda watu. Muache DEO apumzike alikopangiwa na mungu. RIP DEO
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa kambo, anampenda mtoto wake kuliko wangu aliemkuta

    Ukwaju hayo maneno uliyo bold sijaandika mimi. Wameariri huko kina paw mods sio mimi. Mimi nilikua nimeandika MKE WANGU MAMA WA KAMBO ndo kichwa cha habari kilikua hivyo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

    Basi mimi nimebahatika kweli kweli Asante mungu kwa mke niliyenae
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa kambo, anampenda mtoto wake kuliko wangu aliemkuta

    Ram yaani kwa maana ya kawaida tu mtoto na mke wangu ni zaidi ya mama na mtoto. Ni marafiki wa damu wanapendana sana tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa kambo, anampenda mtoto wake kuliko wangu aliemkuta

    Evelyn Salt siombei mabaya katika ndoa yangu na wala sina shaka na mke wangu kwa mapenzi aliyonayo kwetu sote nyumbani. Nilitaka tu kujua kwa wengine kukoje. Ata hivyo nimejifunza kitu kutokana na michango ya wadau
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa kambo, anampenda mtoto wake kuliko wangu aliemkuta

    Wewe tukana tu ukimaliza toa mawazo yako. Na samahani kwa kubadiliswa kichwa cha habari Labda hukuelewa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa kambo, anampenda mtoto wake kuliko wangu aliemkuta

    Watu wa officeni wamebadilisha kichwa cha habari sijui kwa nini. Mimi niliandika MKE WANGU MAMA WA KAMBO. na watu wengi walichangia kabla ya kubadilisha bora wangeifunga tu post yote kuliko kuharibu maana yote ya hii topic
  12. K

    JamiiForums Tanzania 90% ya sababu za kuchepuka huletwa na wanawake

    Mapenzi ya uongo hayo bana ukishaoa huitaji mambo ya kitoto kama hayo. Sawa Mara moja moja lakini isiwe ni kazi ya mwanamke kila siku. Cha kujiuliza hivi wake zetu huwa hawachoki maana hata mama wa nyumbani bado anakazi nyingi kumzidi aliyeko ofisini
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mama wa kambo, anampenda mtoto wake kuliko wangu aliemkuta

    Sina sababu yoyote ya kumfanyia vimbwanga mke wangu wala sifikilii
  14. K

    JamiiForums Tanzania 90% ya sababu za kuchepuka huletwa na wanawake

    Jamaa umekalili hadi kuvuliwa sox aaahhh taratibu ndugu yangu jiongeze kama kweli umeoa ukimnunulia mkeo nguo nzuri lazima atazivaa tu lakini usipo nunua au kutoa hela za matunzo unataka aweje kama sio kuvaa nguo za Airtel?? Mke anaitaji matunzo wala huta kaa umkinahi
Back
Top Bottom