Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
90% ya sababu za mwanaume kuchepuka huletwa na mwanamke.
1. MAZOEA- Pindi mwanamke anapomzoea mumewe, mambo muhimu upungua na kutoa mwanya wa mchepuko. Mwanzoni ulipokuwa mumeo yuwaja, ulikuwa unakimbia, kumlaki, kumvua socks, kumtua mkoba lakini sasa hata salamu ni nadra.Ya nini asiende kutafuta mapokezi mazuri kwa mwingine?
2. USAFI.- Ulipokuwa brand new ulikuwa unasafisha kila sehemu, unakoga vizuri lakini umebadilika. Hujali kama kaoga au la.
3. MAANDALIZI- Hata kama unataka kuchinja kuku lazima uandae sehemu ya kuchinjia. Sio kukurupuka tu. Mume lazima umwandalie kama unataka mahaba. Vaa nguo za kuvutia. Sio kuvaa stocking kichwani na T.sheti ya airtel na utarajie mahaba!
4.UWEPO - Kawaida mwanaume wameumbwa kupenda papuchi. Ukipata asiyependa huyo ana matatizo au pombe, sigara, mirungi au madawa ya kulevya ndio zake. Vipi utaleta maid mrembo na mumeo asimwone? Unamleta dadako mrembo kukushinda na unatarajia mumeo asimtongoze!
To be continued.