Recent content by kinota

  1. K

    Jinsi gani naweza fahamu kiwango cha mkopo niliopewa na bodi?

    Wadau heshima kwenu! Nina mdogo wangu kapangiwa chuo RUCO na jina lake limeonekana batch 3 kuwa kapata mkopo hivyo sijajua ni kwa kiasi gani ili nijue wajibu wangu ni Nguvu kias gani inahitajika kumsaport. Anaye fahamu naomba anisaidie, naomba kuwasilisha wana janvini
  2. K

    Natafuta kazi, Public Relations and Marketing

    JOB ANNOUNCEMENT-MARKETING OFFICER (4 POST) | Kinotel Technology & Engineering Company Limited Tembelea hao jamaa
  3. K

    Nimepitia kozi ya Journalism and Mass Comunication, natafuta kazi

    JOB ANNOUNCEMENT-MARKETING OFFICER (4 POST) | Kinotel Technology & Engineering Company Limited Tembelea hao jamaa
  4. K

    Nafasi za kazi toka kinotel technology & engineering co., ltd

    hili nikampuni linalo shughurika na CCTV technology,networking,ICT product importation and distribution, such as smart TV,switch,router,LAN cable,laptop,laptop devices and other networking device, wametangaza nafasi za it,electronic tech,and marketing...
  5. K

    Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    madogo msijari lazima muwe na ufahamu kuwa ile ni softwere so it work according to programming code of instraction commanded muwe na utulivu hasa wakati huu usiguseguse hizo koz ziliZo wekwa hapo maana ukibonyeza ikakubali haijarish ni kiswahil au coz gan unataka hutaki utachaguliwa maana hakuna...
  6. K

    Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

    jamani mm najaribu kuapply second round inagoma kabisa nifanyeje? tatizo ni nn?
  7. K

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Wanajanvi vip kuna mtu anae fahamu manunuzi kupitia alibaba ya china? kama yupo naomba anisaidie uzoefu wake wa usala wa hawa jamaa
  8. K

    Viruses wanatokea wap hasa!!!

    teh....teh.... nilicho gundua humu hatuna wataalam wakutosha wengi wetutunaweza ubishi wa nani kafanya nini basi maada kama hiz wanao changia ni wa chache kweli ila ingekuwa alie anzisha facebook ni ni nani comment zinge jam, haya mm napita na wa salimia tu wakuu
  9. K

    Naomba msaada jinsi ya kudownload ccna lab. Softwere

    ninajisomea tuitorial mbali mbali za ccna ila nahitaji kufanya practise hivyo ndugu mnao weza nisaodia hiyo softwere nitafurahi sana. nawasilisha wakuu
  10. K

    Naomba msaada jinso ya kudownload ccna lab. Softwere

    ninajisomea tuitorial mbali mbali za ccna ila nahitaji kufanya practise hivyo ndugu mnao weza nisaodia hiyo softwere nitafurahi sana. nawasilisha wakuu
  11. K

    nahitaji kujifunza microcontroler programming

    asante kwa kuonyesha moyo wa kunisaidia nina idear na c language ya darasani nimekua nikisoma how to carry out project of embededy systm .hivyo sina ufaham mkubwa jins ya kuprogram na kudzn circuit.hivyo nahitaji kama unafaham naomba pia ushauri nianzir wap na niishir wap.nawasilisha mkuu
Back
Top Bottom