Recent content by Kinn

  1. Kinn

    JamiiForums Tanzania Ohoo! CCM waanza kumkana Samia juu ya ubabe wake kwa Chadema.

    wanagundua sahz
  2. Kinn

    JamiiForums Tanzania Hisa Zilizofanya Vizuri Zaidi - 2024

    Kumb inalipa sanaa
  3. Kinn

    JamiiForums Tanzania Bili yako ya maji mwezi Februari inaendana na uhalisia wa matumizi yako?

    Sisi bili ya mwezi uliopita ilikua 19000 na maji yalikua yanakatika kila siku tena wiki ilipita hatukua na maji lakini wametuma bili 38000 tumesema hatulipi na tunawasubili waje kufunga bomba ndo tujuane vizuri.
  4. Kinn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Sasa mbona unamsifia sana kama yeye ndo kaanzisha hiy project #Tutashindwaaa sasa misifa mingiii
  5. Kinn

    JamiiForums Tanzania Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Shukrani sana mkuu kwa elimu ya fedha pia pole na msiba wa jiran. #kiti cha mbele kabisa.
  6. Kinn

    JamiiForums Tanzania Kwa trader anayeanza ni vizuri kuchukua faida au kuziacha ili kukuza mtaji?

    kuza mtaji uwe mkubwa then anza kuwithdraw utaenjoy
  7. Kinn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Kalipwa hela ya bia tayari kashalewa anaandika upuuuz chai kabisa.
  8. Kinn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ishia hapo hapoooo! Aiseee mbona mnapenda sanaa uchawa hivo, sifa kwa mama kidogo tu sifa kwa mama. Sikiliza hizo pongezi anastahili MAGUFURI kwasababu yeye ndo aliyewasha gari hata mabeberu walipokua wanamchimba beat yeye ndo alikula msimamo. Huyu ameendeleza tu ni kama saidia fundi tu na...
  9. Kinn

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaitajika

    %
  10. Kinn

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaitajika

    Kwa dar 300k 400k haitoxhi aisee life ni expensive sanaa.
  11. Kinn

    JamiiForums Tanzania Tuma salamu kwa Mdau mmoja kwenye huu uzi kuadhimisha siku ya Radio duniani

    Cacute uwe wakwanza halafu anafwata Buj buj wapi sikuoni siku hizi wap mkuu.
  12. Kinn

    JamiiForums Tanzania Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

    Kuna lijamaa lilienda US kiwizi wizi na halikunilipa pesa yangu sijui nikalichome nibebe kitita hicho. Nawaza tu.
  13. Kinn

    JamiiForums Tanzania Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

    Asanteee! Nimeichukua hio.
Back
Top Bottom