Recent content by kinjimbi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Sio kila kitu unatakiwa kijibu,muungwa akivuliwa nguo huchutama
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Polepole unasema haya sasa hivi?

    Yeye atueleze kanyimwa nini huko,hata wezi huanza kugombana kwenye mgao na sio kwingine,ATUAMBIE KANYIMWA NINI HUKO NA WENZIE??
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Polepole unasema haya sasa hivi?

    Habari wakuu, Najaribu kuwaza kwa sauti kwa haya mambo yanayoendelea sasa kutoka kwa bwana Polepole sielewi kwa sababu Polepole wewe ulikuwepo utawala wa JPM, kelele za watu kuuawa zilikuwepo, watu wengi walipotea, vyombo vya habari vilidhibitiwa, hatukusikia ukisema chochote. Waliishi kama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli novena na albadili vinanguvu kwanini visitumike kuitoa ccm kwenye madaraka,kuondoa mafisadi,nk?

    Imani inaweza kuondoa mlima,ila wew Huna imani hiyo kwahiyo mlima hauwezi kuondoka inaonekana upto wake wa kuelewa mambo ya kiimani ni mdogo sana na post yako nikama kuiponda novera na albadili hivyo keako hata ikifanyika haiwezi kufanya chochote
  5. K

    JamiiForums Tanzania HARIMASHAULI YA JIJI LA MWANZA NA WANA USALAMA

    Habari wakuu, Pale katikati ya mji wa mwanza kuna viwanja vya michezo na shule za msingi mbili Nyakabungo na Mirongo Ilakini kuna tabia inaendelea pale uwanjani ya wale jamaa wanaotumia dozi ya kuacha Madawa ya kulevya kutoka hospitali ya seketule kwenda kuvutia bangi nyyma ya vichaka vya uwanja...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nilivyomla mke wa mchepuko wa mchumba wangu

    Kisasi ni haki
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Hiyo kazi yako ndio inajutia kiburi,sema unavyi weza Ila IPO siku utamng'ang'abia shamba boy na hauta kumbuka yote haya
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chombo cha venera 14 kilifanikwa kupata picha ya kwanza na ya mwisho kabisa ya uso wa sayari ya venus

    Braza wanajografia wetu wengi janja janja anasoma Ili apate ajira sasa kujitetea hapo au kutoa elimu ni ngumu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kushusha uzi mapema kiasi hiki, wakuu nahisi yamenikuta makubwa

    Fanyahivi!nenda duka la madawa yakisuna (kiarabu) waambie wakupe fusho chafu la kuoga na kuchoma na mafuta ya kujipaka,Kisha usiku uoge na kuchomageto Kisha paka mafuta hayo ya kukimbiza hayo madudu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kushusha uzi mapema kiasi hiki, wakuu nahisi yamenikuta makubwa

    Pole sana !uache umalaya mbwa we,tubia kiukweli Kisha nenda duka la dawa za kisuna (kiarabu) waambie wakupe fusho chafu la kuchoma na kuoga na mafuta
  11. K

    JamiiForums Tanzania Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

    Ni kazi ya laana ,inamalamiko mengi sana,wakistaafu wanakiwa kama vichaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    True, sasa wataishi ukitaka Kaa ukitaka ondoka sio tabu,(moyoni) Bora niwe pekeyangu kuliko kua na msaliti NB: Hukumu ya msaliti ni. Kifo tuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Katibu alisahau kuwa mke wa mtu sumu,ona sasa sumu imemuua, na hiyo ndoa ya mchungaji Haina huai Tena ,tutaipa miaka2 mbele ya mbinde mbinde Hadi kuachana Ila kama mtumishi kausika na wife anajua basi kwa kipindi hiko mama mchungaji nae atakua marehemu, DONDA LA USALITI HALIPONI KWA MWANAUME
  14. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

    Kwa amini tu wanaondoka wote wawili,kwa maana mwanamke akibaki nitamchoma sindano ya sumu mbwa huyo
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu alikubali mwanae pekee afe ili tuokolewe na sio kumuua shetani aliye chanzo cha dhambi zote?

    Mwanae kazaa na nani???,na je kwanini Hadi asulubiwe ndio aokoe watu ni udhaidu wa uungu wake au Kuna kitu Cha kujifunza???
Back
Top Bottom