Jambo zuri kwa wazayuni ni uwezo wao wa kutumia akili tu……..hapo ameshajaribu baadhi ya njia zake na soon utasikia ayatollah kaanguka tuko hapa utanambia
Ayatollah anaanguka hivi punde
Kama CCM isipoweza kutafuta mbinu au njia mpya ya kutawala watu,uwenda miaka 10 mbele kusiwepo tena na chama cha Siasa kinacho itwa chama cha mapinduzi
Zaidi ya 50% ya Watanzania ni vijana waliozaliwa Miaka ya 2000’s,yani kwenye sensa ya mwaka 2002 Watanzania walikuwa ni million 30 lakini leo...
Kijeshi,mwanajeshi akifanya makosa uwa anaadhibiwa kwenye mahakama za kijeshi ambazo uwongo independent na hizi courts of law zingine
Kwahyo anaweza akawa amewekwa kizuizini ila nyie huku nje msijue chochote
Kuna mwanangu yupo above 25 ni mwanachuo ila anaishi kwao na msela wake flani hivi ni wa kishua na huyo msela wake anaishi na mama yake pekee yao coz huyo bi mkubwa alizaa kijana mmoja tu
Sasa kila akimuomba yule maza kuwa anaomba akapange bimkubwa anasema hapana asubiri kwanza amalize masomo...
Wewe ndio zuzu tena hujitambui,me nazungumza kuhusu uhalisia wa hilo jimbo Kwa kuwa ninawaonea huruma Majaluo ya TZ lakin yenyewe hayajitambui
Duniani kote huwezi ukampa mgeni awatawale nyumbani ni kuendelea kuwafanya watawaliwaa maisha yenu yote
Ata Obama alipata kura nyingi sana nyumbani...
Hilo jimbo 80% ni Wajaluo lakini cha kushangaza mbunge ni msimbiti-mkurya………..Wajaluo wa Tanzania ni majinga sana
Hiyo ilikuwa ni nafasi iliyobaki ya wao kutawala kwani bunge zima hakuna mbunge mjaluo ata mmoja,hakuna dc,RC,waziri,naibu waziri au ata katibu mkuu mjaluo
Huyu bi kirembwe hapaswi kabisa kupotea kwa sasa,Mungu amemleta kiongozi dhaifu ili iwe ndio mwisho wa ccm,akipotea huyu kwa sasa itakuwa ni ngumu sana kumpata kiongozi asiye kubalika na raia kama huyu
anapaswa azidi kubaki mpaka october au november then bwana mkubwa lissu aje amuoneshe kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.