:a s 2152: Tunawapata makamamda wa ukweli picha zimekuwa zikichelewa kuwekwa fanya juu chini weka picha. Makamanda wa ukweli . Tumeanza na mungu tutamaliza na mungu. Tushirikiane kuvamia iramba magharibi imekuwa ya mwisho kutembelewa na viongozi wa juu. Tunawahitaji sana.
M4C Kwa Lowassa: Mamia wachukua kadi za CHADEMA Monduli
Godbless Lema akiwakabidhi kadi za CHADEMA wananchi wa Monduli katika kata ya Makuyuni
kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani. Mamia wamehama CCM na kujiunga na CHADEMA
:kev:M4C Kwa Lowassa: Mamia wachukua kadi za CHADEMA Monduli
Godbless Lema akiwakabidhi kadi za CHADEMA wananchi wa Monduli katika kata ya Makuyuni
kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani. Mamia wamehama CCM na kujiunga na CHADEMA
WANAJAMIIFORM :- KWANZA HABARI ZENU! mi mzima! kutokana na tabia inayofanya na vyombo vya habari kuanzia TBC, gazeti la Uhuru, Gazeti la Mtanzania tukumbuke kuwa kuna vyombo ambavyo vinamilikiwa na vyama vya siasa lakini taratibu za uandishi zipo pale pale haijarishi hiyo habari ni ya chama...
Ni jambo la msingi kwa mbatia kuongea na wandishi ili wananchi waelewe malengo yake. Kweni ilikuwa zarahu kubwa sana kwake kama angekubali kuingia ndani ya tume hiyo kwa sababu waziri mkuu ni kiongozi wa serikali ndani ya bunge ambaye alishuhudia hoja ya mbatia ikivirigwa na wao wenyewe serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.