Hii kitu itakuwa kweli maana hata mimi na mwenzangu tulikuwa na kazi dodoma. Tuliumwa mafua dizaini hiyo kichwa kuuma kwanza mwanzo tulifikiri ni mashuka ya hotel machafu yanavumbi labda ndio kilichopelekea kupata mafua makali vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mungu kwa yote yanayoendelea. Najua hata wao wameoa ila ni kwa vile tu wamepewa upofu haya hawawezi kuyaona. Ila kisasi ni juu ya Mungu aliye mbinguni. Tunashukuru na kuomba katika jina la Yesu kristu Amina. [emoji122]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.