Recent content by kinguhj

  1. kinguhj

    Simba na Yanga hazitegemei makocha kushinda mechi ndio maana hata leo Fahdu anaweza kufukuzwa na timu ikashinda

    Management iliyopo umeidharau sana,ubora wake hujauona hata kidogo,wachezaji wanavyoandaliwa pia hujaona. Unamaanisha ndumba bila management bora inafua dafu? Be positive
  2. kinguhj

    Namuachaje kwa Amani? Nilimtoa kwenye ndoa ili anizalie sasa mke wangu kapata mtoto

    Mkuu mbingu zimejua kukuumbua Ushauri Lea mtoto na mama yake kama kawaida kwa sura ya mchepuko hadi mtoto afikishe miaka mitatu au minne hapo unaweza kuongea naye akakuelewa na akaendelea na maisha yake kama ni kuolewa au la sawa ataamua yeye,sasahivi tulia kwanza maana utamuumiza atakuwa...
  3. kinguhj

    Na changamoto katika ndoa yangu. Mke wangu jeuri sana, Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa

    Siku hizi vitoto navyo vinataka mkubwa anayejua kuhudumia mzee,tafuta location nzuri na ramani ya kumpata aliyehitimu shule na hajapata kazi wala biashara miaka 23-26 hawa wako serious sana
  4. kinguhj

    Hello future Hubby

    "Nyashi ipo" mwisho wa kunukuu
  5. kinguhj

    Kuna muda wanawake wana intelijensia ya ajabu jana yamenikuta

    Pole mzee,hao viumbe wana utashi wa kihisia wa hali ya juu sana umefanya kosa kumpeleka chimbo na hapo kihisia ameshajua na kwakuwa hujakiri mbele yake basi angalia namna ya kuomba radhi bila ku -declare jinai aliyoithibitisha kihisia. Nashauri mnunulie zawadi kubwa anayoipenda mwambie...
  6. kinguhj

    Nina wanaume wawili, na wote wanataka kunioa

    Thinking maturity bado kidogo,tutakushauri ukikua au utakapotenganisha hisia,uhalisia na pesa
  7. kinguhj

    Nini sababu ya taa kuendelea kuwaka hata zikizimwa?

    Taa ina tabia ya ku sense umeme wa ziada ambapo hali hiyo hutokea fundi akiunganisha wire wa earth kwenye neutral yaani badala ya umeme kuvuja kupitia earth wire unajaribu kuwasha taa,pia taa inapokaribia kumalizia muda wake inaanza tabia ya kufanya kazi nje ya utaratibu ikiwemo kupunguza...
  8. kinguhj

    Kwanini Shemeji wa Kiume huwa na hisia za chuki unapokuwa na mahusiano na Dada yake?

    Nyuma ya pazia umri wenu bado mdogo halafu hujafuata utaratibu.Kaka mtu ni jukumu lake kufuatilia usalama wa ndugu yake ukimchapa mimba huyo bila kumuoa taabu zinahamia kwa ndugu zake na ndugu pekee atakayeelemewa ni ndugu wa kiume. Uwe muelewa.
  9. kinguhj

    Nini sababu ya taa kuendelea kuwaka hata zikizimwa?

    Ameunganisha wire wa neutral kwenye wire wa earth,muite fundi mwingine arudishe wire hizo sehemu zao.
  10. kinguhj

    Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

    Ndugu nimepitia andiko lako,ila kwa uelewa mdogo nilionao juu ya biblia ni mkusanyiko wa nyaraka zilizoandikwa na wanadamu, kila waraka ulielekezwa kwa jamii fulani. Nadhani nyaraka hizi kwakuwa waandishi ni binadamu basi zina mapungufu mengi na inawezekana baadhi zimetungwa tu.
  11. kinguhj

    Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

    ROYALITY Royalty is never a wisdom,its a product between trust and longterm business relationship between two ssides.
  12. kinguhj

    Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

    Watu hununua au kuuza kitu kwako kwa sifa kuu tatu 1.Kukufahamu(Know how) 2.Kukupenda(Like) 3.Kukuamini(Trust) Nje na hizo sababu,niamini mimi,ukiachilia mbali ubantu wa wabantu utapigwa tu kwenye bei maana utadondokea kwenye myego wa price discrimination. Biashara ni mchezo wa supply chain na...
  13. kinguhj

    Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

    Ukitaka kuishi vizuri kariakoo tafuta winga ambaye yuko royal kwako,winga atakuumiza iwapo hamjuani wala hamjawahi kufaana kwa chochote,winga uliyewaji kumfaa jambo lake hanaga kinyongo,mimi mizigo yangu nachukua kwa mawinga wanaonipa hadi bei za kiwandani china pamoja na go dwlown zao nina...
Back
Top Bottom