Recent content by Kingu JR

  1. K

    Majibu juu ya upotoshaji wa Mwigulu

    Mwigulu ni mweupe sana ndio maana anaogopa kila ziara za cdm iramba,kumbuka alivyokodi wahuni wakafanye fujo kwenye ziara ya mnyika pale ndago,juzi kaleta simba ili awagawe wanairamba lakini aibu ameipata.
  2. K

    Majibu juu ya upotoshaji wa Mwigulu

    Kaka huyu jamaa mwongo sana,hakuna cha ligi yoyote.
  3. K

    Maandamano makubwa ya CHADEMA kumng'oa Meya wa Ilemela - Agosti 19, 2013

    sheria gani inasema polisi watoke kibali?polisi wanapewa taarifa tu.
  4. K

    Majibu juu ya upotoshaji wa Mwigulu

    Ndg wanajf, Nimesikitishwa na kitendo cha mbunge wangu mwigulu kuandika maneno ya uongo humu jf hivyo nimeamua kuja kukanusha na kuweka ukweli wa mambo juu mkutano wa Dkt Slaa uliofanyikia hapa kiomboi, *MAHUDHURIO YA WATU: watu waliojitokeza ni takribani 3502 hii ni kwa mujibu wa fomu za...
  5. K

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Mbunge wa iramba magharibi mwigulu nchemba amekuwa akifanya siasa chafu zenye mwelekeo wa kigaidi. Alipoongoza kampeni igunga siasa zake chafu zilisababisha mauaji. Kule arumeru akaua,ndago iramba akaua. Tangu arudi china amekuja na mbinu mpya ya kukusanya vijana wahuni kwenye makambi na kuwapa...
  6. K

    Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

    Mawio ni gazeti la ukweli.nyinyi ccm na waliberali mkilifungia,tunaanzisha lingine. Kinawauma nini?Kama habari ni ya uzushi maaskofu ndio wenye wajibu wa kukanusha.
  7. K

    Hongera Leticia Nyerere...

    Hivi uwezo wa kuongoza unapimwa kwa kujieleza peke yake?
  8. K

    Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

    MWIGULU HAWEZI TOKA KWA HALI HII> ~Ofisi ya chadema wilaya ya iramba ni gofu haina nyuma wala mbele. ~Katibu wa cdm wilaya ya iramba ni mtu wa mwigulu. ~Tundulissu ana bifu kali na Dkt Mkumbo. ~Chadema hakina tawi wala shina huku iramba. ~Hakujawahi fanyika mikutano ya nguvu. ~Mkutano wa zitto...
Back
Top Bottom