Recent content by Kingthaiman

  1. K

    Karibu uwekeze kwenye biashara ya magari used

    Mm nataka niwe nalenga magari ya mnada ya serikali. Una hio mifumo?
  2. K

    Rosa engine 4d36

    Iko juu kidogo bajeti hairuhusu
  3. K

    Rosa engine 4d36

    Nataka niagize mitsubishi rosa engine 4d 36. Je hii engine ni nzuri na spare zake linapatikana? Naombeni ushauri
  4. K

    Ttcl fibre

    Kivipi mkuu
  5. K

    Ttcl fibre

    Nataka nifunge ttcl fibre. Mwenye uzoefu nayo atupe pros and cons.
  6. K

    Accountancy Vs Insurance and Risk Management

    Mimi nimepata bcom in information and system management. Imekaahe hii au niiteme
  7. K

    Nimechaguliwa UDOM Bcom in ISM

    Sawa boss ujumbe wako nimeupata
  8. K

    Nimechaguliwa UDOM Bcom in ISM

    Nimesoma EGM Nataka nisome project planning
  9. K

    Nimechaguliwa UDOM Bcom in ISM

    Umeisoma mkuu, nijuze kidogo
  10. K

    Nimechaguliwa UDOM Bcom in ISM

    Yameanza, dirisha la kubadilisha kozi lipo wazi nipo njia panda
  11. K

    Nimechaguliwa UDOM Bcom in ISM

    Nimepata kozi UDOM Bcom in information and system management. Mwenye kuifahamu naomba anielezee uzuri wake na uzito wake.
Back
Top Bottom