Recent content by KingPower

  1. KingPower

    JamiiForums Tanzania Nijifunze kipi kati ya excavator na gari kubwa(howo, scania, faw, daf n.k).

    Aisee niwe mkweli, Natofautiana na watu kidogo, Game ya Excavator kwa sasa ipo tight Sana , sio nakukatisha tamaa ila ndo ukweli,
  2. KingPower

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Numerology naomba msaada wenu kwenye hili

    Mimi si mjuzi Sana lakini Pengine, wale wa wazee wa Universal, watasema kuna message ambayo Pengine unapewa na ulimwengu, ni pattern\ ishara juu ya maisha yako au Hali yako ya sasa unayopitia/ utakayoipitia.
  3. KingPower

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa

    Aisee, Hii ni hatari, lakini panakaribia kukucha
  4. KingPower

    JamiiForums Tanzania 09 December ,hawana Ujanja. Ni msumari wa mwisho kwenye Jeneza

    December 09, ni mtego hasa, hawa wameingia cha kike
  5. KingPower

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakutakuwa na CCM baada ya 9 December 2025

    Basi na ikawe kheri, na iwe kama ulivyoona
  6. KingPower

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo: Aliyemaliza degree 2018 yupo Kitaa, mwenzake alierudia form 4 akiwa na miaka 25 na kuendelea diploma yupo Taasisi nzito

    Nimependa hapa "Pumzi ikiwepo game bado haijaisha" wengine wanasema usimkatie mtu tamaa.
  7. KingPower

    JamiiForums Tanzania Machimbo GPT

    Nataka niwe wa kwanza kuitest product yako ikishakuwa tayari Kila la kheri Mkuu
  8. KingPower

    JamiiForums Tanzania Bado tupo kwenye narrow AI si ajabu tishio la AI kwa sasa halionekani kubwa sana kati yetu ila tunapo elekea wengi tutaimba wimbo mmoja

    Ni hatari kwa kweli, after 10 years Mambo yanaweza yasiwe ivi tena
  9. KingPower

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTUMIA CANVA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI (ONLINE)

    Je ukiwa na simu Tu? Unaweza kuyafanya yote au lazima niwe na Laptop?
  10. KingPower

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Ni hatari sana, Mwananchi wa kawaida akiwa aware ivi?
  11. KingPower

    JamiiForums Tanzania "Mmeagiza Tujiajiri — Lakini Mnatumaliza"

    Swala linaloitwa Haki kwenye nchi hii ya Tanzania? Ni kama msamiati mpya Taasisi ni kama hazitambui, Watu wanaonewa Sana wanapokwa Sana Haki zao, lakini Yana Mwisho! Vyombo vya Haki havitoi Haki, Pazeni sauti yamkini msaada utatokea na kupata Haki zenu
  12. KingPower

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

    Uwajibikaji ni Jambo Jema, ila Tusiwe wepesi Sana Kuamini Watu. Kwa muda kupitia matendo yao Tutujua dhamiri yao.
  13. KingPower

    JamiiForums Tanzania Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Nimeguswa Sana, lakini ngoja waje wadau waweza kupata msaada na kufikia lengo lako!
Back
Top Bottom