Kiukweli mahabba/mapenzi hayana uchafu. na sio tumeiga njee, hapo nakataa!
hivo vitu vipo tangu enzi lakini kutokana wao hawana aibu mambo yao hadharani ndio tunasema wameanzisha wao sie tunaiga.
hapo kidogo mie nakataa. mapenzi yenyewe kama utayachunguza kiundani basi vitendo vyote ni uchafu...
Hayyaaaaaaaaaaaa kumekuchaaaaa
ushauri ambao ni dawa nzuri kwa upande wangu... lakini kwanza mungu aniepushie mbali, lisije likanikuta!
sasa dawa ni hii (japo dini yenu navosikia mke ni mmoja tu, sina uhakika)..
ok sasa kwa upande huu wa dini ya ISLAM wake wa nne "MASHA'ALLAH".
UAMUZI WANGU:-...
:A S angel:DENDA NA FAIDA ZAKE:A S angel:
Hebu tujadili faida za denda katika mahusiano ili waliokuwa hawajui, watambue faida zake.
maana wengi wanaona uchafu yaani hawaeleweki.
Mshukuru Mungu sana,,, Dada Hongera sana kwa moyo wako. Mko wachache saana.
I am a man
Namuheshimu sana mwanamke, wanajali sana na rahisi sana kumuamini mtu!
Duh mpaka akitoka bafuni na khanga moko! Inamaana kushnei, margea sala!
Bujibuji kushnei,,, jamaa kala vyake na kabainisha Kila kitu....
Dunia hii Majanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.