Recent content by kingkil kullya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Arusha atumia nyaraka za usalama wa taifa kufanya utapeli

    Hakujawahi kutokea mwema ukazaa mfenesi. Unachoshangaa ni nini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Likewise nyie mlivyojiita watawala then you think you can even tawala sisimizi? Mambo mengine hata kumuuliza Mungu mnaacha kwa kuwa you believe you are the brightest, genious. Si ndiyo?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

    He is busy and don't ask ask too much too many questions. He has instructed the Premier to work on that while he is doing other important matters. Mnataka sense Bukoba halafu? Nyie ukuta!!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Wewe ukidhani kitu kidogo,?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze ombaomba kwa wafanyabiashara

    Waache c waliwadharau? Mungu kawasababishia. Ngoja tuone kama watazidisha ukali tena. Ntu katoa pesa yake halafu umtishe tishe tena? Atamwambia unrudishie pesa yake
  6. K

    JamiiForums Tanzania FACT: Tanzania ya Magufuli haina Industrial Strategy

    Inatoka wapi,?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Jijibu mwenyewe baada ya figisufigisu zenu bado mnataka asante nini? Kwendeni zenu huko. Mmuruhusu akutane nao hamtaki
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaombe msamaha matajiri

    We don't have time for that after all our dictionary does not contain the word samahani. Hapa kazi ty
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

    Hilo halitawezekana kwa uses a wa Roho Mtakatifu
  10. K

    JamiiForums Tanzania I wish i was the President

    And that's why you are not and you will never be bcz God knows you are a liar
  11. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hiki ni kiashiria kwamba uchumi wa Lowassa umetikisika?

    Mbona huyu mzee mnapenda kumsemasema sana? Kuna kitu gani kinachowafanya kila wakati mnamtajataja?inaonekana mnamgwaya sana. Luna kitu kibaya mlimfanyia nini kiasi kwamba mnakuwa na wasiwasi juu yake kila saa? Ni nini hicho?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kama ulijiuzilu 'kuiokoa' CCM na Serikali, jiuzulu sasa kuikoa CHADEMA na CUF

    Huja kwa neema ya Mungu. Siyo kwa njia ya kuropoka ropoka tu
  13. K

    JamiiForums Tanzania NSSF waja na hoja tatu kuhusu fao la kujitoa

    Pesa ni zangu nilikatwa mimi ni lazima wasitoe tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa kama ulijiuzilu 'kuiokoa' CCM na Serikali, jiuzulu sasa kuikoa CHADEMA na CUF

    Busara hainunuliwi huna kwa neema ya Mungu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi: Hatimaye shule za Sekondari Ihungo na Nyakato zimefungwa

    Uongozi hutokana na neema siyo mabavu. Hekima utoka kwa Jehova basi sio popote
Back
Top Bottom