Kuanzia Mshindi mwenyewe hadi huyo Bashiru wote wanaona aibu kwa haya yaliyofanyika
Walitoa maelekezo kwa watendaji wao wa chini, wao wakafanya kwa kupitiliza hadi mtoto mdogo anajua kilichofanyika
Hamna pa kuificha hii fedhehe! Wenye akili ndani ya ccm yenyewe wanaona aibu! Kuna wanaojuta...
Huku chini michako ilikuwa dhahiri! Safu ya kuhakikisha hayo yaliyotokea yanakuwa hivyo iliandaliwa mapema na kupewa ahadi zilizoambatana na vitisho live
Ukweli upo wazi kabisa, ila kwa aina ya wasimamizi waliochaguliwa, namna watendaji kata walivyojipanga, jumlisha calmness ya watu Morogoro na aina ya mtu atakayetangaza matokeo! Bado safari yake itakuwa ngumu sana labda tu kwamba uhalisia utaonekana kwamba Kuna mtu kabebwa
Star TV nao wamekata matangazo yao na BBC Dira ya dunia baada ya Zuhura Yunus kutaka kuelezea madai ya habari inayozagaa kuhusu kuuawa kwa watu tisa Zanzibar. Mara paaap wamemla mtama hewani hayupo tunaangalia matangazo hapa
Wamemrudisha baada ya habari hiyo kuisha, wanaongelea kuhusu kuzima...
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.
Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja...
Watu kama nyie tunaotegemea mmeshaelimika na kuwa na uelewa mpana ili mtumie uelewa wenu kuwaelewesha wengine Kama bado mnamawazo ya namna hii, basi maendeleo yatachelewa sana
Yaani leo serikali kutimiza wajibu wake asante iende kwa Magufuri? Sasa Kama mtu Kama wewe unasema hivi, je Mama yangu...
Ni kweli kabisa unachosema, ila unapata nguvu ya kusema hivi kwasababu unajua kitakachofanyika. Ila ikitokea vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vikaingiwa na roho wa Mungu vikaamua kutenda haki kwa kuhesabu na kutangaza kura halali kulingana na zilivyopigwa na kusema na liwalo na liwe...
Ni kweli kabisa, ikiwa tu wanaodevelop app zinazohusu wanafunzi kujisomea wanahangaika kupata fund, ije kuwa ya kufungua mageti!
Ukiangalia michango ya baadhi ya wadau, wanadai hakuna wa kubadilisha hii isipokuwa sisi wenyewe ila kila kitu kina wakati wake
Ruge na fursa zake alikuwa anawaambia...
Ukisoma historia ya matukio yaliyovuruga nchi nyingi duniani na kusababisha vita utagundua machafuko hayakulipuka ghafla bali yalitokana na manung'uniko ya muda mrefu ya watu kulalamikia kunyimwa haki au kuonewa
Ukiangalia namna vita ya kwanza ya dunia ilivyotokea, manung'uniko yalianzia kwenye...
TUNA TABAKA KUBWA LA ELIMU AMBALO HALIONEKANI
Na Thadei Ole Mushi.
Mwaka 2017 niliandika kuwa Shule bora zote za Serikali wanaosoma huko asilimia 95 ni watoto wa matajiri au wenye unafuu wa kiuchumi. Hapa nazungumzia shule kama Mzumbe,Ilboru, Tabora boys, Tabora girls, Kilakala, na nyinginezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.