Recent content by kingely

  1. kingely

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi gani wa Serikali wanalipwa house allowance?

    dah hatari
  2. kingely

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mbunge na DC kuchoma sindano za chanjo ni hatari

    jamani walikuwa wakizindua chanjo au hamjui km hii ni serikali ya mazinduzi wasipozindua chanjo hawatapata pa kuuzia sura bwana mkubwa kabana anataka aonekane yeye tu
  3. kingely

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aiomba Denmark kusaidia ujenzi wa barabara yenye km 11 mkoani Iringa

    duh tunapesa nyingi lakini hatutaki kuzitumia tu na kudhihilisha hilo viongozi walipita na 1.5 trillion kwa sauti ya bwana mkubwa
  4. kingely

    JamiiForums Tanzania Nguzo mbili za umeme na Transfoma vyazinduliwa pia

    nimecheka sana
  5. kingely

    JamiiForums Tanzania Msaada! Nifanyaje ili niweze kuziona avatar?

    unaweza ukatamani kulia lakini inakubidi ucheke tu
  6. kingely

    JamiiForums Tanzania Alikiba sio star?

    dah sasa watu waombe kupiga nae picha wakati yuko uwanjani anacheza mpira? mbali na muziki hicho ni kitu kingine anachokiweza sana kwahiyo siyo vibaya kukionesha mbele ya jamii
  7. kingely

    JamiiForums Tanzania Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

    Tanzania kuna media nyingi sana kwahiyo clouds yenyewe haiwezi ikamfanya Diamond adrop na mfano mxuri ni kwa lady jay dee
  8. kingely

    JamiiForums Tanzania Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

    kwa fikira ndogo huyo Ruby wa clouds unaweza kumlinganisha ni lady jay dee?
  9. kingely

    JamiiForums Tanzania Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

    wasanii wa clouds ni kama akina nani? na waliojitegemea ni akina nani?
  10. kingely

    JamiiForums Tanzania Siku Fid Q alipoamua kumuacha kwenye mataa John Makin bila huruma

    iko hivyo Joh anamashabiki wengi kuliko Fid na ukitaka kuthibitisha hilo angalia views za videos za Joh then linganisha na videos za Fid on YouTube lakini pia angalia followers kwenye mitandao ya kijamii ni yupi yuko juu angalia tena idadi ya subscribers on YouTube ni nani anao wengi mbali na...
  11. kingely

    JamiiForums Tanzania Siku Fid Q alipoamua kumuacha kwenye mataa John Makin bila huruma

    haaaaa haaaaa haaaa ni kitu gani mkuu?
  12. kingely

    JamiiForums Tanzania Siku Fid Q alipoamua kumuacha kwenye mataa John Makin bila huruma

    ndio anafanya hivyo lakini pesa anayopata hiwezi kuwa sawa na anayopata Fid yani ile jumla kwa mwaka utakuta joh yuko juu hata YouTube videos za joh zinaviews nyingi kuliko Fid
  13. kingely

    JamiiForums Tanzania Siku Fid Q alipoamua kumuacha kwenye mataa John Makin bila huruma

    kama ukiwaweka sokoni Joh yuko juu ya Fid hata idadi ya shows kwa mwaka mzima utakuta Joh kafanya shows nyingi kuliko Fid lakini hata mashabiki Joh ana mashabiki wengi kuliko Fid lakini kwenye uandishi Fid yuko juu lakini mashabiki wake ni wachache sana na shows zake ni chache pia
  14. kingely

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

    umekalilishwa et lakini siyo kwa uongo huo
Back
Top Bottom