Recent content by Kingdan

  1. Kingdan

    Makato ya ushuru wa kuweka au kutoa fedha benki na kutuma na kupokea fedha kielektroniki waanza

    Sawa , lakin tatizo la nchi hii sio vyeo tu kiongozi, Mambo yanafanywa bila uwazi na uwajibikaji, Tunaweza tukapunguza vyeo, wachache watakaobaki wakajirundikia mali za nchi kuliko kawaida. Tatizo ni mfumo, kwa mfano je, kuna uwazi katika uwasilishwaji wa Mapato na Matumizi ya Fedha kuanzia...
  2. Kingdan

    Makato ya ushuru wa kuweka au kutoa fedha benki na kutuma na kupokea fedha kielektroniki waanza

    Nchi haiendeshwi kwa kwa idadi ya watendaji bali kwa Mipango na Mikakati ya kukuza Maendeleo ya watu na vitu... Tatizo letu ni kwamba mambo yanaamriwa na wawakilishi wetu(Wabunge) bila sisi kushirikishwa... In short hakuna uwazi na utoaji wa mawazo kwa wananchi bali kuna maamuzi na...
  3. Kingdan

    Dodoma: Rais Samia azindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza

    Kuna msoma risala anaupiga mwingi 🤓🤓😂😂🤠🤠
  4. Kingdan

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Siku hizi wanajeshi wakikukuta unakula, na wao wanajiunga then wanalipa bill'' 😂😂😂
  5. Kingdan

    UTABIRI: Ndugai kujiuzulu Uspika na Wabunge 19 bandia kung'oka

    Bunge ni mhimili wa nchi. Bunge linaisimamia serikali. kujiuzuru kwa spika ni kama kuuogopa mhimili mwingine. That's not perfect.
  6. Kingdan

    Maskini mali zisizo na Faida kwa Warithi!

    🚶🚶🚶
  7. Kingdan

    Maskini mali zisizo na Faida kwa Warithi!

    Habari zenu! Leo napenda kushare Fukunuzi moja watu husema "Mtoto ni mtumwa wa Mali za Urithi wakati akiwa mdogo Lakin ajapokuwa na kuzijua haki zake Ndipo Huwa bwana wa yote". Tatizo lililopo katika usemi huu sio utoto, Bali ni kuzijua haki zake na kusimama kidete ili azipate. Kuna...
  8. Kingdan

    Hongera Mtaka: Ni heshima kubwa kwako kuwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

    Mtu wa vitendo,asiyejimwambafy
  9. Kingdan

    Siku 52: Tanzania bila Magufuli

    Yaliyopita achana nayo, Tumuombee mama, Mungu amuongoze ili tuwe na nchi ya watu wenye furaha.
  10. Kingdan

    Je, Rais Samia ni mfuasi wa sera ya kazi na bata?

    Habari wa jf wenzangu, Kwa mujibu wa hotuba ya mheshimiwa rais ya tarehe 6April2021. Nmesikia mama amezungumza mengi lakini muelekeo wake najaribu kuuhusianisha na kaulimbiu ya mzee wa dakika 90,bwana Membe, Je,kwa mujibu wa hotuba ile ni kweli inawezekana BCM nae akawa mshauri maana...
  11. Kingdan

    Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

    Ni kweli mifumo ni mibovu lakini wabovu wanajificha nyuma ya pazia, Hii itasaidia katika kufanya upembuzi ili kuwajua wabovu na kuwaondoa kwenye mfumo ili Kazi Iendelee.....
  12. Kingdan

    Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

    Nchi inahitaji watu wenye maono kwa ajili ya Watanzania, Tanzania sio ccm au upinzani,Tanzania ni sisi wananchi, Kitu kikubsa ambacho kinaweza kumbeba mama ni ukweli,uwazi na uwajibikaji. Upinzani huwa wanapata hoja pale mambo yanapopelekwa ndivyo sivyo. Kikubwa haki italiinua Taifa wala...
  13. Kingdan

    Rais Samia Suluhu anzisha customer service agency

    Iko sawa, Hii itasaidia connection kati ya serikali kuu na wananchi Lakin pia watumishi wa umma watafanya kazi ipasavyo ili kusiwe na malakamiko sana
Back
Top Bottom