Recent content by king'amuzi

  1. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Wamiliki gazeti Tanzanite wafungua kesi kudai wamedukuliwa na kuchapisha habari zisizo na maadili, sio wao walichapisha

    Gazet lenyewe lina typing error Ukimwa=ukimya la kufungia maandazi hili
  2. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Nilichokigundua kuhusu maandamano yenye kauli mbiu ya (Tanzania Revolution)

    Uwoga, ujinga, na umaskini vinatafuna sana akili
  3. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali na kupelekwa hospitali ya Mount Meru

    Awe mwangalifu na aheshimu alama za barabarani
  4. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Air conditioner and cold room contractor

    Mazhim Tanzania limited is a Registered company with reg no 95507 Incorporation Date 28th November 2012 Place of registration Dar es salaam, Tanzania Postal Address P.O Box 62279, Dar es Salaam Physical Address block 47 plot 13 T garden street. Sinza Mori, Dar es Salaam. AIR CONDITION AND COLD...
  5. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wana JF

    Karibu
  6. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa bandarini utakomeshwa lini?

    Hiyo ni kodi ulitakiwa kudai risit kama hukufanya hivyo ulitoa rushwa , siku nyingine dai risit halali ya malipo yako
  7. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro!!

    Maji yana calcium nyingi ambayo inabadili meno rangi
  8. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    "A leader should rule in righteousness and in the fear of God so that he can be like a torchlight for everybody (2 Samuel 23:1-4). If a leader is a torchlight for everybody, he is a shining example for everybody to see. There is no way one can move a nation forward without being a torchlight...
  9. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nikikatwa uspika nitakimbilia mahakamani kufungua kesi

    Apumzike alelee wajukuu sasa siasa awaachie vijana
  10. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Washawasha polisi wavua nguo

    Wananchi tunaupendo wengine limekwama wakawasaidia kusukuma
  11. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Mat.ak. yake mwambie aheshimu kura yangu tume itoe majibu
  12. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania 'Inadaiwa' Gari la kura fake lakamatwa Njombe ikielekea Mtwara

    Amani ni neno pana sana
  13. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Lowassa azizima Mikumi, Prof Jay Ubunge tayari

    Wewe umekatwa ama kama mgombea wako
  14. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    mshukuru Mungu kwa uumbaji wake umekamilika
  15. king'amuzi

    JamiiForums Tanzania Chopa iliyomuua Filikunjombe, ilikuwa mbovu, isiyofaa kwa matumizi wala matengenezo

    madhara ya rushwa kwa mamlaka zetu, kupenda rahis na ufisadi
Back
Top Bottom