Halafu mwanamke mwenyewe ni mchumba tu bado anasaka wanaume wa kumuoa huyo. Anaona wewe inawezekana huoneshi nia wala mwelekeo wa kumuoa. Jiongeze kiume kaka
NAHISI UNA TABIA YA KUKAA SANA SEBURENI BILA KWENDA KULALA MAPEMA NA MKE WAKO. INAWEZEKANA AMEONA NI BORA AKWAMBIE HIVYO NA MARA NYINGI AKIKUMBIA HIVYO UJUE ANAHITAJI UMFUATE ILI UMPE HAKI YAKE
Hivi wasanii wa bongo wa movies wameshindwa kuwa wabunifu hadi tufikie hatua ya kuuza movies za nje. Huwa nafuatilia movies hizi za bongo na napenda sana lakini kuna mapungufu makubwa hasa baada ya kufariki kwa Kanumba. Wasanii wawe wabunifu zaidi na hii itasaidia zile movies za nje kutoka tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.