Recent content by king zapata

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wakati sahihi na wakati mbaya wa kuchukua mkopo wa biashara Benki

    shukrani sana mtoa mada kwa elimu kubwa uliotupatia, ubarikiwe sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    pitia na baadhi ya post humu jamvini kama alivyoshauri Ndugu barafuyamoto, Ila kwa hali ilivyo sasa bei zimepanda vifaranga vilikuwa 1100 Ila kwa sasa 1300, chakula kizuri kilikuwa 42000 Ila sasa hivi 46000 jitahidi kuweka order mapema za vifaranga usidanganyike kununua chakula cha bei rahisi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    inategemea na idadi ya Kuku unaotaga kuanza kufuga, kwa mfano kwa hali ya sasa ilivyo Kuku 400 broiler inahitaji mtaji wa sh 1,600,000/= vifaranga 400×1300=520000 chakula magunia 25×46000 madawa=50000/= nakutakia kila la heri kijana mwenzangu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa Kigoma na uongozi wake wote watimkia ACT

    best advise ever
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    inategemea mkuu ila kwa mwaka jana ilikuwa tuzo moja millioni tatu, mwaka huu nadhani watakuwa wameongezewa mpaka millioni 4
  6. K

    JamiiForums Tanzania Diamond Na Wema Sepetu Wafumwa Wakipeana Denda Hadharani Bila Hata Aibu

    kweli kabisa mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

    naisubilia ripoti yako mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wema afunguka kilichomdatisha kwa Diamond..

    kweli kabisa nospah, money stunna pamoja na warumi wamenifanya nisinunue magazeti ya udaku siku hizi nasoma hichwa vya habari kisha natembea na yesu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Diamond anafanya show katika ukumbi mkubwa huko Texas

    shukrani kwa taharifa mtoa mada, naona msanii wetu anazidi kukua kiasi ambacho hata mapromoter wanaanza kumchukulia kama msanii wa kimataifa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Eti huyu ndio demu mwingine anayetoka na Diamond

    ha ha ha ha ha
  11. K

    JamiiForums Tanzania Diamond kwenda Nigeria Kufanya Video Nyingine

    umejieleza vizuri, hongera kwa hilo mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Diamond kwenda Nigeria Kufanya Video Nyingine

    acha kabisa kifesi yani unazidi kutupandisha mizuka sisi mashabiki wa diamond
  13. K

    JamiiForums Tanzania Batuli: Wasanii Wengi wa Kike ni Wavuta Bangi

    nakukubali sana warumi hakuna usichokijua kuhusu mastaa wa kibongo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu na Nyumba ya Kijitonyama

    warumi inaonekana hawa mastaa wetu wa kibongobongo unawajua nje ndani, sijui huwa unazinyakaga wapi hizi nyepesi nyepesi
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo

    mkuu naona umeamua umpe tuzo
Back
Top Bottom