Recent content by King yedidiah

  1. K

    I think its my time to rest, I am nothing in this world

    Pole sana ndugu, nafaham jinsi inavyosumbua iyo hali,Hauko pekeako , jitahidi utafute msaada wa kisaikolojia, lakini pia wa kiroho. Na kamwe usiruhusu mawazo ya kuona huu ndio mwisho, kila mtu kaletwa duniani atimize kusudi flan, ikiwa upo hai basi tambua bado una nafasi ya kulitimiza ilo...
  2. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Mkuu malizia kuna la kujifunza / Great finish there studying😁
  3. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Aise kweli, kwa hili nasema ni Mungu tu.. Maana kwa asilimia zotr niliona dalili, yaan tena zinakuja kwa mpangilio kabisa, kinaanza hiki kinafuata hiki.. Huu kwangu umebaki ushuhuda, sio ujanja wangu aise..
  4. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Wakati mwingine maisha huendeshwa na bahati, kuna mda moyo unakataa kabisa, imewah kunitokea pia, nipo lodge tena hakuwa dada poa, alikuwa pisi nzuri tu ila tokea tumefika tumepiga story ghafla moyo ukawa mzito kupiga nae show, kiukwel ilitokea vita kubwa kati ya nafsi na mwili kukubali...
  5. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Aise samahani nilipo ona neno "Matrako" ndo nmegundua wewe ni mtoto wa kike, huwa sibishani na watoto wa kike, nisamehe madam
  6. K

    Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

    Hauko pekeako bro, mimi nilisoma tution nne na pindi la darasani na discussion lakin holaaa
  7. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Huwa zinapumbaza akili ya kichwa cha juu. Afu kakichwa kadogo kanachukua ufalme
  8. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Natumai kwa sasa umeacha mkuu, haya mambo kuna wakati tunaponea chupu chupu.. Kuokoka umefanya chaguo jema👏👏
  9. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Aise iyo sijawahi kuthubutu na wala sijawah kutana na dada poa aliyetaka 0712.. Kwanza kuna madhara makubwa hasa kwa mwanaume. Sema wengi wanapuuzia. Siwezi kamwe kuogelea maji ya mtaroni😁
  10. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Naomba Mungu huu uwe mwisho wa visa mkuu, maana kuishi na bila amani ni nusu ya kufa. Mungu anisaidie kwa kweli
  11. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Wewe ni moja ya watu ulio ni inspire nikapime, naukumbuka uzi wako mkuu. Shukrani, kwa sasa nimeacha iyo michezo
  12. K

    Safari yangu ya kuikabili hofu ya kupima VVU Na majibu baada ya miaka mingi ya kuruka na madada poa

    Hiyo hatari hasa kwa unaokutana nao.. Kinga zako zipo juu ila ukikutana na mtu lazima umuambukize maana viral load nazo zipo juu
Back
Top Bottom