Recent content by king swai

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

    waraka unasikitisha, ila nashukuru mungu cause viongozi wa kikristo bongo zao zinafanya kazi na niwapenda amani,Na bila ya ubishi ndio wanaoishikilia amani ya hii nchi, ushauri wa bure kwa hao wanaotamani kuona siku moja tz inakuwa nchi ya kiislamu,"kwa nini msihamie mali,somalia au...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    for these moral, those green vampires(blood sucker) shall be cremated on 2015. ALUTA CONTINUA Till we tanzanian regain our freedom:yo:
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    mi nitahama nchi na kubadili uraia kabisa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuuliza siyo ujinga

    k swali gani la kitoto hilo ndugu? huoni kwamba huyo kasoma science? ukisoma science au biashara ni lazima masomo ya arts yawepo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Siku ya leo ni kati ya siku yangu ya majonzi makubwa sana.Kwani wadogo zangu wawili, zao la shule za kata wameangukia pua.Nachelea kuamini kwamba majonzi haya yamenifika peke yangu ,yumkin hata wewe unayesoma hapa muda huu upo kwenye majonzi hata zadi ya haya niliyonayo. Ni matokeo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Hoja ya Uchochezi ya Ustaadh Ilunga: Serikali inamuogopa?

    huyo jamaa kama kasoma, Bila shaka ni darasa la nne la mkoloni.Anaongea vitu asivyostahili kuongea mtu wa kada na umri wake.Nawasikitikita ngugu zangu kuwa na viongozi wa aina hii. HV WAJAMENI, KAZI YA USALALM WA TAIFA HAPA NCHINI NI IPI?:crying:
Back
Top Bottom