Recent content by king pierre

  1. K

    JamiiForums Tanzania Shida ya maji Buhongwa Mwanza

    Pole mkuu, maji yamekatika au hayajawahi kuwepo kabisa maeneo hayo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Lile ni hatari mkuu, likikaa kulia kushoto mane mpinzani atapta tabu sana[emoji23][emoji23]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Vipi kuhusu lile bulldoza Adama Traole haliwezi kufit pale Liverpool?
  4. K

    JamiiForums Tanzania CRDB Salary Advance

    Mkuu...hakuna haja ya kusubmit salary sleep kwa badae?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa madini Kahama walalamikia kuuziwa maeneo kwa gharama kubwa

    Mkuu naomba niweke sawa apo, anayeuza hayo maeneo ni wenye mashamba/ofisi ya madini au uongozi wa mgodi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kahama: Ajali yaua na kujeruhi, huku mmoja akishikiliwa kwa kuua kwa fimbo.

    [emoji106] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kwenda kuuza dagaa Kahama, kama kuna mwenyeji

    Unawatoa kisiwa gan?.....Samak vp wanapatkana? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wabunge Ezekeil Maige na Stephen Masele wamewataka watendaji wasiogope kutumbuliwa

    Iyo ya maige ilikuwa cku gn mkuu!!?.. npo apa kahama cjaipata bado
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulala wageni jirani na hospitali ya TMJ, DSM

    Ok..nashukuru mkuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulala wageni jirani na hospitali ya TMJ, DSM

    Shukran mkuu...ipo ila hapo panaonekana ni juu ya bajet..tehteh
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulala wageni jirani na hospitali ya TMJ, DSM

    Bei zake zpoje mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulala wageni jirani na hospitali ya TMJ, DSM

    Reception wap mkuu..natarajua kuingia mjn ucku ndo mana nikawa nauliza mapema
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulala wageni jirani na hospitali ya TMJ, DSM

    Habari wakuu, Nipo mkoani, nataka kumpeleka mgonjwa hosptali ya TMJ DSM, naomba kwa anayefahamu gest/lodge iliyopo jirani na hosptali hiyo yenye gharama isiyozidi elf 30 kwa siku anisaidie kunitajia jina na kunielekeza mahala ilipo. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wakuu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ghorofa lililojengwa Dodoma kwa pesa za walipa kodi kupitia wakala wa majengo Tanzania TBA

    Kuna mwngn anasema lipo uhndin sasa cjui ukwel n upi
Back
Top Bottom