Pole sana, hakuna mwanaume ambaye anampenda mwanamke akafanya kitendo cha kikatili kama hicho, lakini pia nahisi kutakuwa na red flag ambazo ulishindwa kuziona hapo awali. Naomba nikuulize maswali machache, Nini kilikuwa kinatokea baada ya sex, i mean alikuwa anakuthamini na kukucare baada ya...
Pole sana Unique
Naona huu uzi wa 2, umeandka umechafukwa na roho nahs kunasabab ndan yake.
Uzur wake ukiangalia ata mtiririko wa comment za baadh ya wa2, inaonysha waz baadh yao wnyw wanajshtukia na kujshuku uchawi.😎
Kwanini usifanye biashara ya uwakala ndani au nje ya chuo na kuuza vocha, mtaji hauzidi hata lak 2.5.
Kuna wngn enz izo chuon walkuwa wanauza laptop na cm , walkuwa hawana maduka but walkuwa wanaenda k/koo kunajamaa walkuwa wanawafaham uko hvyo kaz ilkuwa kupga pcha zle cm na laptop kwny maduka...
Uzuri wa hii nchi bhn, watu wanapga matukio mchana kweupe na hakuna wa kumuuliza. Tutasahau na hili tu watu walpga mshndo kpnd icho epa wengn wakasema mil 500 ela ya mboga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.