Ni swali ambalo ukiulizwa unaweza kuliona kama jibu lake ni jepesi sana hasa kwa sababu ni jambo ambalo umezoea kulisikia au wengine wanadai wamezoea kuliona, La! Hasha, hili si swali rahisi kujibika, muda ni jambo ambalo linaeleweka vizuri vichwani na kwenye fikra za watu wengi kimazoea tu hasa...
Hapana ni abdomality in body function, labda mwili hurespond kwa kukupa taarifa kua sehem fulani haiko sawa hivyo rekebisha, mfano ganzi inayosababishwa na kuulalia mkono au kukunja mguu.
Numbness au Ganzi kwa lugha ya kiswahili, ni hali ambayo husababishwa na mambo mengi. Hutokea katika sehem tofauti tofauti za mwili, moja ya sababu kubwa ambayo ndio common ni ile ya ganzi inayotokea endapo mzunguko wa damu haufiki katika sehemu fulani ya mwili.
Viungo vyote vya mwanadamu kasoro ubungo, huwa vinapumzishwa ili viwe active, kuna hormones ambazo ndio hufanya kazi ya ku activate ama ku deactive viungo hivyo, usingizi ni moja ya hali inayotokea kwa lengo la kupumzisha viungo ikiwa pamoja na macho, hata masikio pia, ndio maana ukilala...
Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa.
Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo inatulinda masaa 24 ya siku, Siku zote 7 za wiki, katika mambo yote yanayoweza kuhatarisha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.