Recent content by king ndeshi

  1. K

    UKAWA na CCM pamoja

    Ndugu watanzania, amani iwe kwenu,awali ya yote napenda kuwashukuru kwa uvumilivu wenu kwa kipindi chote hichi cha uchaguzi,sababu kuvumilia kwenu ndo msingi wa amani hii inayotamalaki sasa. Kuna msemo unasemaga "amani haiji kwa ncha ya upanga'' ndugu zangu tumeshampata kiongozi wetu wa nchi...
  2. K

    Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

    ​UKAWA waongea na waandishi wa Habari leo, wajibu kauli za Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, washangaa kwa nini daftari la kudumu haliwekwi hadharani mapemaWataka UKAWA pamoja na vyama vingine viruhusiwe kuhakiki Database ya Tume Makao makuu Mnyika anafanya Press Conference kutokea Ngome ya...
  3. K

    Nahitaji kujiunga na CCM

    king ndeshi10:36Today watu ktoka kaskazini Mwa Tanzania wameamka kuliko namba kubwaya watanzania,hata maendeleo ya MTU mmoja mmoja yanaridhisha ukilinganisha na sehemu Nyingine, so kuichagua chadema ni sehemuya kujitambua kwa watu kutoka kaskazini,the rest of other dump tz inhabitants are just...
  4. K

    Tathimini: Majimbo na kata zinazoongozwa na CHADEMA wamepata maendeleo gani?

    king ndeshi10:36Today watu ktokakaskazini Mwa Tanzania wameamkakuliko namba kubwaya watanzania,hata maendeleoya MTU mmoja mmoja yanaridhishaukilinganishana sehemu Nyingine, so kuichaguachademani sehemuya kujitambuakwa watu kutoka kaskazini,the rest of other dumptz inhabitantsare justfilling the...
  5. K

    Tume kuchelewesha kuboresha daftari ni faida kwa Wapinzani...

    watu ktoka kaskazini Mwa Tanzania wameamka kuliko namba kubwa ya watanzania, hata maendeleo ya MTU mmoja mmoja yanaridhisha ukilinganisha na sehemu Nyingine, so kuichagua chadema ni sehemu ya kujitambua kwa watu kutoka kaskazini,the rest of other dump tz inhabitants are just filling the place...
  6. K

    Ayub Rioba: Why is Obama ending Africa trip in Tanzania?

    I THINK U SHOULD BRING YO MOTHER. Ukinunuliwa buku 7,ipo cku utauzwa buku chee,somewhere mombasa
  7. K

    Kwani OBAMA ni Mungu hadi Tanzania imtukuze kiasi hiki?

    Kama obama angekuwa anapita nje ya nyumba yngu nisingefungua hata pazia nichungulie & kuna mbulula mmoja anasema watu wasije dar,shame on our 4bs leaders plus TBc
  8. K

    CHADEMA, CCM kupimana ubavu jimbo la Kawe

    CCM bila tume ya uchaguzi,na polisi,hawawez kushinda hata uchaguz wao wandani wa chama,sembuse kawe.. ''TAHADHARI'' Hii statement Kwa goigoi ni puzzle,kwa werevu ni meaningful
  9. K

    Ayub Rioba: Why is Obama ending Africa trip in Tanzania?

    Because is da place where natural resouces are given for free..so where else to go? Russia!? Kikwete is such a weak president, said hr Mnyika,a lot of credit to you bro.
  10. K

    Maandamano ni ushamba

    UKINUNULIWA KWA BUKU 7 za mwigulu IPO SIKU UTAUZWA KWA BUKU 2. Uzalendo ni natural heritage.
  11. K

    Mama Salma Kikwete is the best Tanzania first lady ever

    HIVI INAKUWAJE MTANZANIA MWENYE MACHO YA KUONA HUU UTAWALA wa ccm WaLICHOWAFANYIA BIBI BABU KAKA DADA MAMA BABA ZETU,ALAFU ANAPOKEA BUKU SABA KUJA KUSHINDA MITANDAO YA KIJAMII KUTETEA UCHAFU WAO, KUMBUKA UKINUNULIWA IPO SIKU UTAUZWA. Hayo tu
  12. K

    Intelijensia ya CHADEMA imenasa njama za Kumdhuru Mbunge Lema

    1)If they fail to kill him,they will make him even stronger 2)kama wakishindwa kumuua,watamfanya mwenye nguvu 3)kama wakalemo emboo,wan-ninga finya
  13. K

    Wabunge wengi wa CCM ni mawaziri

    Kazi ya wabunge kwa lugha rahisi ni kusimamia (kuibana) na kuishauri serikali, Kinyume kabisa na hali hiyo wabunge wengi 97% wa ccm wamekuwa wakitetea majibu ya serikali,wakati mwingine kupangua hoja zinazoibuliwa bungeni dhidi ya serikali kitu ambacho ni kazi ya mawaziri. Hii nchi itasonga...
  14. K

    Vurugu zarindima kijiji cha Ruaha wilaya ya Kilosa!

    inavyoelekea bado unatmembea na vinotes vya madrasa kichwani...jiongeze ndugu.
  15. K

    Tracking the Land of the Dragon’s (Chinese) billions in Tanzania

    Tell all muslims that jesus is the lord. Even mohammad knew that!
Back
Top Bottom