Recent content by KING MWANAMSHARI

  1. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sasa lakini bado ananipenda balaa...

    ufumbuzi upi wakati hata kwa maneno yako unaonesha wazi ulivyonogewa ndio maana hujaoa mpaka leo kwa sababu unajua pa kupunguzia haja zako lakini kaa ukijua yule ni mke wa mtu na ana mtoto kwanini usimuepuke hata kwa kufunga mawasiliano naye na kuhama machoni pake mwisho kumbuka muosha uoshwa pia.
  2. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli:Nilimuoa Jini Nikamsaliti

    mmetutelekeza jamani tupe mwendelezo
  3. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli:Nilimuoa Jini Nikamsaliti

    chezea nargis ww
  4. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alikuwa chanzo cha mimi kunywa pombe

    pole ila inauma sana lakini suluhisho sio pombe kwani unajiongezea matatizo zaidi
  5. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

    we ulizama zaidi kwa game za nje mkeo ukamuacha ss we unafikiri nan wa kumtoa hamu halafu hao unnaowala kitaani ujue nao wameolewa je unataka useme waume zao hawapati maumivu?
  6. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maendeleo hayana vyama, hamieni huku kama Waitara tulete maendeleo!

    Rais wetu inasononesha sana pale uliposema hata baadhi ya maendeleo makubwa mfano mfuo wa umeme wa sg unakwamishwa na wasomi wetu na wataalum na ambao hata masomo yao wengine walifadhiriwa na nchi hii hii mi nachomuomba mh. rais asiangalie maneno ya wakosoaji wachache wenye kuropoka kila siku...
  7. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Mfalme nimeachana na ukapera nimeamua mwenyewe nifunge ndoa ya mtandao na jamii forum so wanamember naomba michango yenu ya ukaribisho kwa champaign nyingi tehtehtehtehteh
  8. KING MWANAMSHARI

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wa wifi yangu amempa mimba dada wa kazi nyumbani kwangu; familia imevurugika

    pole ila jaribuni kukaa chini na mumeo maana bado we ni mkewe wa ndoa na pia muone ni jinsi gani ya kumsaidia huyo binti hayo mambo kwenye ndoa yanaleta changamoto sana
Back
Top Bottom