Recent content by King Mswat 11

  1. King Mswat 11

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukweli mchungu huu ila ngoja tuone ila saiv jukwaan anaetamba ni kipanya tu
  2. King Mswat 11

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ngoja Tuone ila kama atakaa kimya pasi na kutuma dude japo moja la maana tutakuwa wanyonge hilo lipo wazi kabisa japo wenzetu wa upande huu wanaona kama hatuna subra lakin Dunia inaona kuwa Vladimir Putin anakuwa slow hata kwenye kuhatarisha usalama wa raia wake
  3. King Mswat 11

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Inauma sana kiukweli sisi ambao tupo upande wake
  4. King Mswat 11

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tutake ladhi wakaguru sisi tunajitambua kiongozi huyo mpe kabila linalomfaa.
  5. King Mswat 11

    FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Hahahahaaaaaaaaa we jamaaa bana
  6. King Mswat 11

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Hii habar imeniumiza sana
  7. King Mswat 11

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Nakukubali mwamba huna mbambamba
  8. King Mswat 11

    Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mh. Nape Mosses amechagua kusema ukweli

    🤣🤣🤣 aisee nishaipata hii code ila marope atakuwepo ila huyo mwingine sidhan
  9. King Mswat 11

    Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mh. Nape Mosses amechagua kusema ukweli

    Samahani one b hivi marope ndo nani nipe code kiongozi
  10. King Mswat 11

    Haji Manara, na umri wako wa zaidi ya miaka hamsini, unaenda kugombania kazi na akina Kamwe, Priva, na ubishane na Ahmed Ally

    Ns Napia chuki hukaa kifuani mwa mjinga mimi sio yanga ila jamaa nahisi ni miongoni mwa hao vijana wameamua waje kivingine
  11. King Mswat 11

    Nimeamini US anaihofia sana China

    Kwa hio nyati ni China sio duu
Back
Top Bottom