Nimeamini US anaihofia sana China

Nimeamini US anaihofia sana China

Taarifa mwenyekiti.......hiyo Hong Kong imejengwa kwanza na wazungu........harafu huwezi kufananisha ulaya na china........maana miji mingi ya ulaya au amerika ni ya kihistoria majumba mengi ya thamani ni ya miaka mingi tofauti na hii inchi ya Mao ambao hawana kipya zaidi ya ku copy and paste.......harafu ujiingize kwenye league ya ubunifu hapana kwa kweli...........
Kuna kutengeneza na kuwekeza sema wazungu wamewekeza sana hapo Hong Kong sio kujenga. Wachina wanajenga wenyewe sasa fanya hivi mji wa Atlanta ni mji mpya kama Shanghai hebu fananisha hayo majiji sasa.
 
Xi Jinping maoni yako tafadhari!
Kwenye upande wa AI China wako vizuri hata kwenye patents za AI
20240628_080923.png


Screenshot_20240705-211005_X.jpg
 
Back
Top Bottom