Recent content by king mojoh

  1. K

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    ukawa simply i need constitutional reformation...i go for ukawa
  2. K

    JK unakumbuka hii?

    ha ha now your emotions are clouding your intelligence...ume panicky...relax...dawg
  3. K

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    utabiri ni maneno tuu.....siku za mwisho manabii wa uongo..nabii kapewa hela then katabili wata hell z that...bro don't be fooled with fake prophecy
  4. K

    JK unakumbuka hii?

    usimusishe Muumba kwa hawa waongo wabinafsi........mtatunga theory kibao....all in all hatutaki ya umwagaji damu kisa kulazimisha mabadiliko.....shame on y'all who believe in blood shed...tena shameeeee...this mamvi hata akishindwa oct...bado atafosi kwa vurugu..sasa who will fight ..ni nyie...
  5. K

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    we must be careful of this people...namfaninisha mbowe na mke..ambae ameshindwa ridhika na mumewe..akaamua kufuata bwana mwenye pesa na kumuacha bwana wa zaman...alafu huyu mzee ni mgonjwa anatetemeka jaman.....haya wafuasi wa mgonjwa
  6. K

    Tulioenda Dodoma ndiyo tulioshuhudia nguvu ya Edward Lowassa! Ana mikakati mizito!

    wengi hawatazami mbele...wana furahi simply emotions zimeguswa...jiulize at any cost they want this country...sio ukawa edo na timu yake kina rosta....in return wakiingia madarakani...nani anajua what will happen next....ogopa sana mageuzi yenye msukumo wa kifedha...haya sio mageuzi...
  7. K

    Tulioenda Dodoma ndiyo tulioshuhudia nguvu ya Edward Lowassa! Ana mikakati mizito!

    this guy anefananisha CIA na hao watu plzzzzz don't let your emotions clouds your intelligence brother.....nashangaa Africa tunashabikia watu badara ya sera....leo naona mkakati ni kuiondoa ccm....what about health ...esucation...kibaya zaid our currency...Mungu haribu ujinga wetu kwa maarifa...
  8. K

    Hii inaweza kukusaidia kuongeza kujipenda. . . . . . !!

    tatizo ni kwamba watu weusi tuna uwezo mkubwa sana lakini tatizo lipo katika the how to use our mind nakujitumaa. weng wanataka mambo mazuri pasipo hard working.. jaman huwez kwenda pepon bila kufa.. huwez pata mafanikio ya kweli bila hard working
Back
Top Bottom